Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

bhachu Hamed Bakayoko ameimbwa sana na Extra Music band naomba umelezee kwa upana nipate kumfahumu vema
mwaka jana niliandika wasifu wa marehemu Hemed Bakayoko hapahapa kwenye uzi huu.
rejea post hii hapa chini.[emoji1427][emoji1427]
 
mapedeshee wa kitanzania hawana guarantee ya kubaki kileleni mda mrefu.

jina la pedeshee likivuma sana ni miaka miwili au mitatu. baada ya hapo hasikiki tena. ukiuliza unaambiwa jamaa alishafirisika.

pale congo kuna matajiri majina yao yanaimbwa tangu 80s na 90s. mfano ni Adam Bombole, Tchatcho Mbala, Alita Tchamala nk.

huyu Alita Tchamala ni businessman na mwanasiasa. ameanza kuimbwa tangu miaka ya 80 na kundi la TP OK jazz. mpaka leo bado anaimbwa na wasanii wa kizazi cha sasa akina Ferre na Fally

View: https://youtu.be/tbRn8GH52Bg?si=zIG2bBsjrTduxBIi

View: https://youtu.be/ZttiHdXir1M?si=G_tRRh-x-qGbZ472
 
Ila majamaa ni matajiri sana ingawa kweye list za matajiri huwa hawatokei. Kuna pedeshee Mike Mosisi wa Lubumbashi nae sio poa yaani balaa zito. Juzijuzi hapa kulikuwa na hali ya sintofahamu Lubumbashi akaipeleka familia yake nzima ikaishi Morocco kwa muda hadi hali ya hewa ikae sawa. Mapedeshee wengi wa DRC wana nyumba nyingi nje ya Congo.
 
Wa kibongo wengi ni matapeli so hawana chance ya kudumu kwa muda mrefu, tofauti na hao wafanyabiashara wa kongo au wanasiasa.
 
jina la Mike Mosisi sio geni kwenye masikio yangu. nimelisikia mara nyingi kwenye nyimbo za Koffi Olomide na Ferre Gola.

laiti kama congo dr ingekuwa na utulivu wa kisiasa kama ilivyo Tanzania, uchumi wake ungekuwa stable zaidi ya hivi sasa.

ni taifa ambalo ardhi yake imejaliwa reserve ya resources muhimu ambazo zinatolewa udenda na mataifa yenye nguvu duniani. hapa nazungumzia diamonds, gold, copper, cobalt, tin, tantalum na lithium, uranium nk.
 
Tunamkumbuka kama Shujaa wetu na mtu mwenye mapenzi ya kweli na kisarawe alikuwa mkurugenzi wa Bandarini ila Faida yake mpk Leo baadhi vizazi bado ipo sio yule bwana waziri anafaida yeyote zaidi ya kuongeza wake... Tunamsubiri kwa Hamu 2025...
Dah binadamu tunapanga yetu, na Mungu nae anapanga yake.

Pumzika kwa amani brother Rubawa.
 
jina lake linatajwa sana kwenye nyimbo za wanamziki wa congo dr.

huyu ndio Eric Mandala, tajiri mkubwa, mfanyabiashara na mfadhili wa mziki wa rumba.

eric ni mwekezaji katika biashara ya madini, kampuni yake ina deal na masuala ya kuchimba almas,kununua na kuuza. pia ni mwekezaji katika biashara ya real estate.

kampuni yake ina ofisi Kinshasa na Dubai .
 

Attachments

  • eric.mandala - 7052982052852976901.mp4
    4.4 MB
  • Obstiné Gold Dubaï.mp4
    7.8 MB
Eric mandara Huyu ni mchagga
 
Afu nasikiaga wanawake wa Kongo huwa wanafuga nywele za Vuzi, kuna dereva wa lorry alinipaa story
 
nimesoma uzi na kupitia comments zote, sijaona sehemu katajwa,

pedeshee akanyambasira mutu ya watu.

nimesikitika sana.
 
Wengi na wauza sembe na mijambazi.Hivi yule aliyeuawa kwenye marushiano ya risasi na polisi kule morogoro alikuwa anaitwa nani vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…