Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Nicky Menga Barcelone girlfriend wa zamani wa fally ipupa kipindi hicho fally sio mtu maarufu sana akijitafuta kwenye ramani ya mziki.

pic moja nzuri sana. sijui fally alighafirika nini akamuacha huyu mdada.
mwana mama bado anamwelewa fally ipupa...
 
😅😅😅😅🏃🏃🏃🏃 mtu mzito.
 
Pajou simba na coco madimba walikuwa mabisho kinoma hata vijana wa sasa wanakaa kwa pigo zao.
 
Vipi Eric Kalume.....katajwa kwenye wimbo wa fally ipupa wa Associe...
 
Broo mmekula maisha aloo natamani ningepitia hizo zama ila basi tu kila shetani na mbuyu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…