Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 216
- 406
hahahaaYaa,
inasemwa mpira ulikua ana umudu vyema..
Timu za taifa za vijana kacheza Sanaa
Niliwai kua jirani nae tabata mtu wa kupiga show mpya daily zingatia neno daily
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaYaa,
inasemwa mpira ulikua ana umudu vyema..
Timu za taifa za vijana kacheza Sanaa
Niliwai kua jirani nae tabata mtu wa kupiga show mpya daily zingatia neno daily
Mbona unacheka mkuu 😊 yaan mpaka nilikua najiuliza huyu na bandika bandua daily hachokihahahaa
Bishoo Sanaa na ule weupe na Rasta Rasta..kapotelea wapi siku hizi?. siku za nyuma nilikuwa najua jamaa ni mkongoman
Mbona unajua mengi hivi....Walisumbua wakat baba yupo md bandari...walitusumbua sana
Idd yupo kwenye nyumba ya baba yake opp na bakwata katulia tu
Ova
mwana mama bado anamwelewa fally ipupa...Nicky Menga Barcelone girlfriend wa zamani wa fally ipupa kipindi hicho fally sio mtu maarufu sana akijitafuta kwenye ramani ya mziki.
pic moja nzuri sana. sijui fally alighafirika nini akamuacha huyu mdada.
😅😅😅😅🏃🏃🏃🏃 mtu mzito.Leo nlikutana na papa msofe nlikuwa mitaa ya golden folk mikocheni,tukapiga stori 1,2
Wakati natoka naye akawa anatoka akaingia ndani ya kibrevis kimechokchoka,nkamzingua mbn huko humu akacheka akasema ttz yale magari makubw yanachoresha 😄
Ova
Pajou simba na coco madimba walikuwa mabisho kinoma hata vijana wa sasa wanakaa kwa pigo zao.mwaka 1996 kundi la wenge musica BCBG chini uongozi na usimamizi wa Werrason na JB mpiana liliachia album kali sana kwa jina pentagone.
nadhani baada ya hapo kundi lilisambaratika na kuzalisha mkundi mengine yaliyoshindana kimuziki.
ndani ya album hiyo kuna track inaitwa coco madimba.
coco madimba sio neno la kilingala bali ni jina la mtu,mdau wa muziki au tuseme sponsor mwenye fedha zake ambaye aliwalipa wanamuziki hao ili wamuimbe.
jina lake limesikika kwenye nyimbo nyingi za kundi hilo zilitoka miaka ya 90.
licha ya kwamba coco madimba ndio muhusika mkuu wa huu wimbo, ndani yake yametajwa majina ya wadau wengine wa muziki wa kikongo.
nakuwekea hapa kipande kifupu cha video ili uweze kuwafahamu.
Vipi Eric Kalume.....katajwa kwenye wimbo wa fally ipupa wa Associe...jina lake linatajwa sana kwenye nyimbo za wanamziki wa congo dr.
huyu ndio Eric Mandala, tajiri mkubwa, mfanyabiashara na mfadhili wa mziki wa rumba.
eric ni mwekezaji katika biashara ya madini, kampuni yake ina deal na masuala ya kuchimba almas,kununua na kuuza. pia ni mwekezaji katika biashara ya real estate.
kampuni yake ina ofisi Kinshasa na Dubai .
Pedeshee Young Omary[emoji23][emoji2
Yupo masasi choka mbaya
Nyimbo gani hio tuipitie na sie vijanaPisi kali kuna yule aliyeimbwa sana na Fali Ipupa alipokuja Dar kwa mara ya kwanza Yasmine
Broo mmekula maisha aloo natamani ningepitia hizo zama ila basi tu kila shetani na mbuyu wakeWakati huo mambo yalikuwa ni moto, pale Salender club pink coconut kuanzia ijumaa ni bolingo la kufa mtu, huku Radio one unakuta DJ Rankim Ramadhani Nyamka yuko hewani anaachia Bolingo za hatari.
Ukiwa na peugeot 504 umeifunga mziki mkubwa dunia yote ilikuwa ni yako na tiketi ya kuingia hadi kwa watoto wa kishuwa unawakula tu.
Ukumbuke kipindi hicho ukitaka kwenda Uingereza ni kama unaenda Kenya tu, unakata ticket unaruka tu unaenda kugongewa entry Heathrow London.
Papas MutarikaNani alieko masasi broo nikamuone
Mkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?
Umeandika nini mkuu?Bro nawe watu wanafoji wanatia finger print uume sembuse kufoji broo