Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sijasahau kifo chake kilikua ni siku chache sana baada ya kifo cha Dr Remmy ongala,na Baba Diana alikuwepo kwenye msafara wa mazishi ya Remmy na Pikipiki yake.baba diana alikuwa ni mpiga drum wa kutegemewa kwenye band ya twanga pepeta, alifariki kwa ajari ya pikipiki yake mwenye miaka kadhaa iliyopita.
Yeah Abuu Semhando..baba diana alikuwa ni mpiga drum wa kutegemewa kwenye band ya twanga pepeta, alifariki kwa ajari ya pikipiki yake mwenye miaka kadhaa iliyopita.
Pedeshee Samia, mama ya kodi.Hii nchi akunaga madeshee wanawake?.
sunda alivuma sana pande za arusha na mikoa ya jirani. alikuwa na pesa za kutosha, nadhani mpaka sasa bado yupo vizuri kiuchumi.wenyeji wa A-Town watatujuza.Sunda Mererani Arusha[emoji91][emoji91][emoji91] nasema uongo ndg zangu?
Na Chesko muuza matunda je???
Braza K kesha choka sana, mali zake zinapigwa mnada na benkiwahaya katika ubora wao.hatari sana hawa watu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo lina kweli 100%.Kilivyoingia chuma pale Ikulu ndio ikawa mwisho wa hao watu. Huku ikisemekana walijipatia ukwasi nje ya mstari sahihi.
na ndio ikawa mwisho wa mziki wa dance hapa nchini hadi sasa. Maana walitegemea udhamini wa hao watu.