Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

baba diana alikuwa ni mpiga drum wa kutegemewa kwenye band ya twanga pepeta, alifariki kwa ajari ya pikipiki yake mwenye miaka kadhaa iliyopita.
Kama sijasahau kifo chake kilikua ni siku chache sana baada ya kifo cha Dr Remmy ongala,na Baba Diana alikuwepo kwenye msafara wa mazishi ya Remmy na Pikipiki yake.
 
Sunda Mererani Arusha[emoji91][emoji91][emoji91] nasema uongo ndg zangu?
Na Chesko muuza matunda je???
sunda alivuma sana pande za arusha na mikoa ya jirani. alikuwa na pesa za kutosha, nadhani mpaka sasa bado yupo vizuri kiuchumi.wenyeji wa A-Town watatujuza.

ila hakuwa mtu wa kujimix na wanamuziki wa dansi, ndio maana jina lake lilikuwa halitajwi kwenye nyimbo.
 
Nani anamkumbuka pedeshee Ali Aurora? Maisha ya huyu jamaa yalitawaliwa na visa vingi vya utapeli na dhuluma.

Halafu akaja kufariki kwa maradhi yaliyomtesa sana. Inadaiwa aliowadhulumu walimpiga "msumali".
 
Unaujua ule wimbo
Nimepoteza kipenzi changu hapa tanzaniaaa🎶
Nimepoteza mkanda wa kiuono🎶
Nitarudii kwa Hidayaa🎶 hidayaaa hidayaaa🎶

Unaambiwa Hidaya alikua ni mrembo vibaya sana enzi za uhai wake akiwa kijana
 
Kilivyoingia chuma pale Ikulu ndio ikawa mwisho wa hao watu. Huku ikisemekana walijipatia ukwasi nje ya mstari sahihi.

Na ndio ikawa mwisho wa mziki wa dance hapa nchini hadi sasa. Maana walitegemea udhamini wa hao watu.
 
Kilivyoingia chuma pale Ikulu ndio ikawa mwisho wa hao watu. Huku ikisemekana walijipatia ukwasi nje ya mstari sahihi.

na ndio ikawa mwisho wa mziki wa dance hapa nchini hadi sasa. Maana walitegemea udhamini wa hao watu.
Hilo lina kweli 100%.

But don't be fooled by their silence, wapo ambao bado wana mzigo wa kutosha ila wameamua kwenda lowkey kuzuga mamlaka. Hawataki tena mambo ya kutajanatajana kwenye mziki.
 
Back
Top Bottom