Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebwanaaee ongezea na yule Dj wa kihaya alikuwa anaitwa Kalikali wa pale Mbowe hotel enzi hizo...Young millionaire alikua DJ mzuri sana pale Kinondoni kwenye ukumbi wa Lang'ata social hall akisaidizana na Chriss Phabby,
Kama ni huyo ndio kaongelewa hapo.
DJ Kalikali alikua anajiita Double K, double A, double L, double I.Ebwanaaee ongezea na yule Dj wa kihaya alikuwa anaitwa Kalikali wa pale Mbowe hotel enzi hizo...
Nadhani ana frustrations za maisha, huwezi chukia uzi wa mtu for no apparent reasons [emoji23][emoji23]Jf ni sehemu ya burudani na kurefresh mind
Take it easy
Hahahaaaa.. [emoji23] [emoji23]DJ Kalikali alikua anajiita Double K, double A, double L, double I.
Mapedeshe wengi wanaongezaga sifuri...akiwa na 100,000 atafanya watu waone Ana mln 1001.Fikiri Madinda
2.Pedeshee Mudi Nondo
3.Moris Mariaga
Hapa pedeshee kidogo ni #3,hao 1&2 walikua ni janja janja tu,tuliowahi kuishi nao Sinza_Madukani tunawajua vizuri
Huyo Mudi Nondo BSS aliyoshinda Jumanne Iddi,nafikiri ilikua ndio BSS ya kwanza,siku ya Fainali aligawa pesa hatari,cha kushangaza nyumba aliyopanga ilikatiwa umeme kwa kushinda kulipa bili kwa wakati(enzi hizo hakuna LUKU) [emoji38][emoji38][emoji38]
Fikiri Madinda aliishi kwenye upangaji na nyumba ya kawaida mno tofauti na jina alilokuwa nalo mjini.
Kizaizai alikuwa na yard ya magari ya uzushi mitaa ya shopper's...1.Fikiri Madinda
2.Pedeshee Mudi Nondo
3.Moris Mariaga
Hapa pedeshee kidogo ni #3,hao 1&2 walikua ni janja janja tu,tuliowahi kuishi nao Sinza_Madukani tunawajua vizuri
Huyo Mudi Nondo BSS aliyoshinda Jumanne Iddi,nafikiri ilikua ndio BSS ya kwanza,siku ya Fainali aligawa pesa hatari,cha kushangaza nyumba aliyopanga ilikatiwa umeme kwa kushinda kulipa bili kwa wakati(enzi hizo hakuna LUKU) [emoji38][emoji38][emoji38]
Fikiri Madinda aliishi kwenye upangaji na nyumba ya kawaida mno tofauti na jina alilokuwa nalo mjini.
kaka inaonekana huyu kizaizai unamfahamu deep sana. [emoji3]Kizaizai alikuwa na yard ya magari ya uzushi mitaa ya shopper's...
Mwenye eneo alikuwa na mpango wa kuliuza,kila akimwambia Anunue eneo ni blhblh tu
Mwisho wa siku wakaja watu wenye pesa wakamtoa hapo kabakia kungaamacho tu
Ova
Mdogo wao mapacha kato na Kakuru ila huyu ni wa Juzi tumrangi funguka kidogo kuhusu muzamil katunzi. najua huwezi kukosa machache kumuhusu.
Mdogo wao mapacha kato na Kakuru ila huyu ni wa Juzi tumrangi funguka kidogo kuhusu muzamil katunzi. najua huwezi kukosa machache kumuhusu.
Msofe amekuwa ustadh
Namjua tokea anaosha magarikaka inaonekana huyu kizaizai unamfahamu deep sana. [emoji3]