Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa rainbow hao mkuu, achana nao.So what?? Umeitwa?? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Pedeshee Samia,mama ya kodi
Mkuu hapo kwenye avatar yako ilo gunia la mkaa la mkoa gani vile?Alifariki hivi karibuni. Nadhani mwaka jana kama sijakosea. Baada ya binti yake alifuata yeye.
Huyu alihukumiwa miaka 30 kwa kesi ya madawa ya kulevya.yanga omary na kati ya tanga.
Khadija Kopa vs Nasma Kadogo.Hayo mengine sawa, ila kuhusu kukosa umaarufu kwa mziki wa dansi napingana na wewe.
Mziki wa dansi ulikuja kukosa umaarufu baada ya kuvuma kwa bongo fleva kuanzia miaka ya 2010 hivi.
Kabla ya mwaka 2010 ilikuwa ni nusu kwa nusu, yaani mziki wa dansi na bongo fleva ulikuwa unachuana katika mashabiki.
Chuma kimeingia ikulu 2015 huku mziki wa dansi ukiwa hoi bin taabani.
Hilo ni suala la kawaida katika fasihi. Nafikiri tunakumbuka kuna kipindi miaka ya 2000 hivi taarabu ilikuwa juu kuliko bongo fleva, enzi za Hadija Kopa na yule mama sijui alikuwa naitwa nani mpinzani wa kopa.
Kapu la wanamtandao kuelekea magogoni lilishikwa na huyi na bi Salome Mbatia.Alihamisha ofisi akawa anafanyia kazi nyumbani kwake .... Niachie hapo
Alikuwa Nasma Hamis, nadhani alikuwa MuunganoReila rashid nadhani, taarabu ilikua juu hata sisi wabara wagumu wa kanda ya ziwa tukaijua taarabu.
Abdul Mteketa ni kweli alifariki mkuu. Mara ya mwisho 2015 aligombea ubunge lakini hakupata nafikiri hilo pia lilichangia kuwa na mawazo maana alikuwa na rafiki yake naye maarufu Said Ntimizi walikuwa na kesi nyingi za madai.Huyo Abdul Mteketa alikuwa Mbunge wa Kilombero,Mkoani Morogoro na Sasa ni marehemu baada ya kuugua sana na mwisho wake aliishiwa mpaka alikosa pesa ya matibabu pale Muhimbili na kuomba msaada kwa mh.hayati JPM,
Huyo Charles Mtawali ni tajiri mmoja hivi aliwika na mpaka sasa nafikiri yuko na pesa maana alikuwa anaishi Kinondoni Stereo aliwahi kununua mtaa mzima pale,na mle ndani kwake parking ukiingia ilikuwa Kama yard magari ya kifahari akirudi ama mkewe akirudi ilikuwa hatumii gari ile ambayo amerudi nayo anatoka na nyingine.
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Zamani mziki ulikuwa zamu kwa zamu, Kuna muda Taarabu ilishika Kasi balaa, Kuna muda miduara ilibamba kinoma, Kuna wakati bongofleva zilikamata kisawasawa, Kuna muda muziki wa dansi asili ya Kongo ulikamata nchi nzima, Ila Kuna kipindi muziki wa dansi wa msondo na sikinde ilishika nchi ikatikisika Sana, Hasa kipindi kile msondo waliposhusha Kilio Cha mtu mzima utunzi wake John Jambele msondo ulikuwa Moto Sana. Chenja alitajwa Sana msondo Hadi wakamuimbia wimbo. Zamani ulikuwa balaa na nusuAlikuwa Nasma Hamis,nadhani alikuwa Muungano
Namfahamu....mara ya mwisho kuonana nae 2016 kama sikosei mileage imesoma si kitoto..Manka Mushi aliimbwa na mwinjuma Mumini Sana,jamaa Kuna wimbo anamtaja hata Mara tatu
Kumbe, lazima azeeke aise maana wakati anaimbwa Ni Miaka ya 2004 hukoNamfahamu....mara ya mwisho kuonana nae 2016 kama sikosei mileage imesoma si kitoto..
Anapiga tu bia maeneo ya equator grill hapo...
Nilikutana nae enzi bado sielewi elewi..yeye ananiambia unamjua manka mushi aliyeimbwa ndo mimi yaani
Hahaha huyo dada aisee michongo mingi kinoma
Manka mushi alikuwa ni shabiki tu wa mziki wa dansi. alitokea kuupenda mziki kiasi kila band zilipokuwa zinatuambuiza kwenye kumbi za dar, yeye alikuwa anahudhuria. na alikuwa anaingia bure kwasababu tayari alishakuwa mdau.Kumbe,lazima azeeke aise maana wakati anaimbwa Ni Miaka ya 2004 huko
Alikuwa naye Ni pedeshee au aliwapa msaaada gani Hawa wanamuziki Hadi aimbwe Sana ?