balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Omary Bongo Ondimba =baba.Ally Benny Bongo=mtotoKuna mdau alimuulizia Hemedi Bakayoko ambae alikua tajiri mkubwa Ivorycoast akimiliki viwanda na alikua waziri mkuu wa nchi yake, Na Omary Bongo ni Rais wa Gabon na Baba yake alikua Rais pia walianza bata kitambo na wacongoman waliitwa sana kwenye nchi zao na kulipwa pesa nyingi, lakini bakayoka alikua na Ukumbi paris ambapo akina koffi na wanamuziki wengine wengi wamepiga pale sana hivo anaheshima ya kipekee sana kwenye burudani hasa upande wa wazungumzaji wa kifaransa