Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Kupata pesa ni kazi ndogo sana! Tatizo kuitunza pesa ndo shida iko hapo!

Nakumbuka miaka ya 90 huko kulikua na matajiri wakubwa sana Kahama town!

1. SAS
2. Hindocha
3. Tajiri mmoja mtoto wake alichoma shile ya sekondary ya Wigehe
4. Saidi Makonyeza
5. Paul Msimba
6. Charles Kasuka

Hawa ni baadhi yao tu! Sijui wako wapi! Sijui wanafanya nini sasa hivi! Pesa ni shida sana
 
ila kahama ina bahati sana ya kuwa na watu wenye kipato kizuri. ile madhari tu ya mji wa kahama inakupa taswira kuhusu unafuu wa kipato cha mtu mmoja mmoja.
 
There you are mzee
mwaka jana(2021)around december nilikuwa kahama,halafu usiku wa weekend moja nikaenda kula bata kwenye ile club maarufu yenye jina la magic 101.

that night at that club was epic and magical, nili enjoy sana. tangia hapo nikajenga mahaba na mji wa kahama.

pongezi kwa mmiliki wa hii club.uwekezaji wake umesimamia kucha. nasikia ni kijana mdogo tu mwenyeji wa hukohuko kanda ya ziwa.
IMG_20221029_172122.jpg
IMG_20221029_171953.jpg
IMG_20221029_171919.jpg
IMG_20221029_171934.jpg
 
mwaka jana(2021)around december nilikuwa kahama,halafu usiku wa weekend moja nikaenda kula bata kwenye ile club maarufu yenye jina la magic 101.

that night at that club was epic and magical, nili enjoy sana. tangia hapo nikajenga mahaba na mji wa kahama.

pongezi kwa mmiliki wa hii club.uwekezaji wake umesimamia kucha. nasikia ni kijana mdogo tu mwenyeji wa hukohuko kanda ya ziwa.
View attachment 2401278View attachment 2401279View attachment 2401280View attachment 2401281
Safi sana

Ova
 
Kupata pesa ni kazi ndogo sana! Tatizo kuitunza pesa ndo shida iko hapo!

Nakumbuka miaka ya 90 huko kulikua na matajiri wakubwa sana Kahama town!

1. SAS
2. Hindocha
3. Tajiri mmoja mtoto wake alichoma shile ya sekondary ya Wigehe
4. Saidi Makonyeza
5. Paul Msimba
6. Charles Kasuka

Hawa ni baadhi yao tu! Sijui wako wapi! Sijui wanafanya nini sasa hivi! Pesa ni shida sana
Yaan alichoma shule niliyosoma mie[emoji1787]shule ya jumuiya ya wazazi ccm,nilisikia hizi story
 
Kama sikosei huyu alikufa
Juma nyamihela

Ova
hivi karibuni niliwahi kupiga story na jamaa ambaye alikuwa ni fundi makenika kwenye gereji yake kule temeke.

kwa mujibu wa huyo jamaa, aliniambia juma nyamihela alikuwa na ukwasi mkubwa sana, lakini pia alikuwa na utu sana.

jamaa alidai kwamba nyamihela ndio aliyemfundisha ujanja marehemu mpakanjia, wakati huo mpakanjia akiwa kama chawa wake.

may he continues to RIP
 
Back
Top Bottom