Abraham Lincon
Member
- Oct 22, 2010
- 78
- 0
Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado wanafanya ngono hovyo tena kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo kunachangia kusambaza vijidudu hivyo kwa wengine. Hivi hakuna sheria inayowagusa wanyama hawa? Tuwafanyaje hawa jamani?