Tuwafanyaje Hawa?

Tuwafanyaje Hawa?

Joined
Oct 22, 2010
Posts
78
Reaction score
0
Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado wanafanya ngono hovyo tena kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo kunachangia kusambaza vijidudu hivyo kwa wengine. Hivi hakuna sheria inayowagusa wanyama hawa? Tuwafanyaje hawa jamani?
 
sheria mkononi tafuteni watu wawakate hizo nanihiii zao ili zisifanye kazi
 
Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado wanafanya ngono hovyo tena kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo kunachangia kusambaza vijidudu hivyo kwa wengine. Hivi hakuna sheria inayowagusa wanyama hawa? Tuwafanyaje hawa jamani?

Muulize mama ghasia, yule aliyemjua anambukiza watumishi waserikali makusudi aliamuru afanyweje?
 
Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado wanafanya ngono hovyo tena kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo kunachangia kusambaza vijidudu hivyo kwa wengine. Hivi hakuna sheria inayowagusa wanyama hawa? Tuwafanyaje hawa jamani?

Wanao fanya nao wanaponzwa na vihelehele vyao wengine wanaambiwa kabisa lakini aaah wapi anaenda kumpanulia
 
Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado wanafanya ngono hovyo tena kwa makusudi huku wakijua kufanya hivyo kunachangia kusambaza vijidudu hivyo kwa wengine. Hivi hakuna sheria inayowagusa wanyama hawa? Tuwafanyaje hawa jamani?
Jamani mbona katika suala baya huwa tunawaonea sana wanyama?Kwa mfano mtu akiua tunasema ni tendo la kinyama,mbona wanyama hawauani wenyewe kwa wenyewe wala kuambukizana magonjwa yanayotamkwa mpaka tuwaite watu kwa majina yao?
Ni mtazamo wangu tu.
Hata kama sheria zipo za kuwabana bado hakuna sheria ya kumtambua mtu kuwa ana ugonjwa fulani na hatakiwi kuwa katika mahusiano na mtu fulani na mbaya zaidi tendo lenyewe ni la siri kwa maana halifanyiki hadharani hivyo kutokuwa rahisi kulikomesha,cha msingi ni kuwalea watoto wetu katika maadili mazuri.
 
Hivi unaanzaje kufanya matusi na mtu kabla hata hamjapima ukimwi? unakua na haraka gani? Maisha yako yote hujawahi fanya? ukiwa unapenda kuchovya chovya ovyo, na kuonjesha onjesha hovyo wala usilalamike kwani unapata haki yako ya msingi kuambukizwa ukimwi.
 
Hivi kumbukumbu hii huwa unayo? ........!
 
mpaka muende kupima mpate majibu dudu itakuwa imelala,.,.,... mzigo wenyewe wa fasta
 
Maty tema mate juu kama kweli huwa unalikumbuka hili.
PUUUUUUU nakumbuka sana na niko makini katika hili

Hivi kumbukumbu hii huwa unayo? ........!
kwa nini nisiwe nayo na mtu nina akili zangu timamu, nishanusurika ujanani nije niupate uzeeni kisa?

mpaka muende kupima mpate majibu dudu itakuwa imelala,.,.,... mzigo wenyewe wa fasta
Hiyo dudu yako inakua ilikua na hamu muda huo na mimi huniitaji labda kama nakuuzia napo nitachukua hatua madhubuti

Anafrahisha jukwaa tu hapa

Haya endeleeni kuchovya chovya na kuonjesha onjesha mimi kwa utu uzima huu nilionao kamwe simpi mtu kabla hatujapima labda anibake, kisa cha kujiua na kuwaacha watoto wanatangatanga. MBANU
 
Hili ni swala mtambuka, linahitaji wadau mbalimbali kukaa chini na kulitafutia suluhu, kwani mtaani mkianza kupeana tahadhali juu ya mtu mwenye ngoma mtaambiwa mnanyanyapaa
 
Wanafanya makusudi hao inabidi kuwasukumia segerea wakanyee vikopo.
 
Back
Top Bottom