Dar es Salaam ndio Tanzania 😄😄😄 sihamiWazo zuri. Kama kijana National Anthem alivyoletwa mjini 2021.
Tuwaombee sana wasifike kabisaHawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Kuna watu nawafahamu wapo Arusha miaka na miaka hawajawahi wala hawahitaji kufika Dar, mambo yao yote wanamaliza hukohuko. Akitaka kwenda mbele anaenda hapo kia anasepa au anaenda Nairobi. Simple. Dar sio muhimu kwa kila mtu.Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Hiyo ndio bongo dar es salaam..ushauri waje na hela tu
tabia watazikuta huku
nguo watazikuta huku
magonjwa watayakuta huku
jinsi ya kutembea watajifunza huku huku dar
watajifunza kula chips yai
kubwa kuliko yote ni jinsi ya kuvuka barabara hao wanaotoka mkoani waambiwe kuna magari mengi wakisubiri yaishe watalala barabarani
Karibuni mjini wa shamba
Na mwanamke kama hana akili akija dar zitakazoumia ni sehemu za siri.Huku ukija bila kazi maalumu utageuzwa kuwa chombo.
Nitashangaa akiwepo mtu wa level hiyo ambaye hajawahi kufika dar.Kuna watu nawafahamu wapo Arusha miaka na miaka hawajawahi wala hawahitaji kufika Dar, mambo yao yote wanamaliza hukohuko. Akitaka kwenda mbele anaenda hapo kia anasepa au anaenda Nairobi. Simple. Dar sio muhimu kwa kila mtu.
Tutawapa mateso na kuwatia dhambini bila hakiKwanini mzee wa kilinge? Hutaki wateja wapya?