Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Hizo ni stori za kitaa. Kila mwenye hela tz lazima afike dar.
Si kweli. Nakukatalia. Dar kuna maajabu gani labda? Mfano watu wa arusha dar mnawapa jambo gani la ajabu? Kwanza wakitaka hao nairobi tena ni karibu tu. We inaelekea ni mshamba huna exposure unadhani dar ndo kila kitu 🤣.
 
Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?

Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Sio kuwasaidia,Cha kuwaambia ni hv;
Kama hakuna ULAZIMA wa yeye kuja/kwenda asifanye hvyo.
Ila kama hakutakuwa na njia mbadala nyingine tutabaki hukuhuku hasa kwenye mambo ya utafutaji wa Rizki,na maisha Kwa ujumla.Kupanga ni kuchagua
 
Dar Kubwa mkuu!! Kuna watu wapo mkoa wanaishi maisha mazuri hawataki hata kuja "DIZIM"

-Nenda Shanty Town au Njiro au Gangilonga.

Dar kuna watu wanakaa sehemu mbovu sana ,ushawai kupita Tandale,manzese,mikocheni nyuma ya tmj,msasani maandazi road,kigogo bondeni near magomeni.
 
Si kweli. Nakukatalia. Dar kuna maajabu gani labda? Mfano watu wa arusha dar mnawapa jambo gani la ajabu? Kwanza wakitaka hao nairobi tena ni karibu tu. We inaelekea ni mshamba huna exposure unadhani dar ndo kila kitu [emoji1787].
Nilikuwa dar, nilikuwa naomba nilichoenda kufanya huko kiishe haraka nirudi Mwanza yangu[emoji16], yani mpaka unajiuliza huku watu wanapapendea ninii.....au labda ni ushamba ulikuwa unanisumbua ila honestly sikupapenda kwa lolote, kuhusu majengo marefu nakubali

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?

Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Na wewe hujawahi kufika Mwanza tukufanyeje?
 
We
Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?

Wengi wapo huko kanda ya ziwa, magharibi, kusini na nyanda za juu kusini.
Ni mbwa na mpuuzi sana
 
Nilikuwa dar, nilikuwa naomba nilichoenda kufanya huko kiishe haraka nirudi Mwanza yangu[emoji16], yani mpaka unajiuliza huku watu wanapapendea ninii.....au labda ni ushamba ulikuwa unanisumbua ila honestly sikupapenda kwa lolote, kuhusu majengo marefu nakubali

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukiwa unatokea mwanza na kanda hiyo kwa ujumla lazima ushamba ukukimbize dar.
 
Niko pande za ununio.

Sawa mkuuu,,,, na ongera yako kwa kuishi DASALAMAA ,,, ila Mimi ki-binafsi yangu hakuna mahala/jiji silipendi kama DASALAMAA....

X100 nikaishi mkoa wowote ndani TZ hii lakini sio kwa DASALAMAA.....
 
Dar Kubwa mkuu!! Kuna watu wapo mkoa wanaishi maisha mazuri hawataki hata kuja "DIZIM"

-Nenda Shanty Town au Njiro au Gangilonga.

Dar kuna watu wanakaa sehemu mbovu sana ,ushawai kupita Tandale,manzese,mikocheni nyuma ya tmj,msasani maandazi road,kigogo bondeni near magomeni.
Mkuu hao wenye maisha bora mkoani still lazima wamewahi kuja dar.
 
Sio kuwasaidia,Cha kuwaambia ni hv;
Kama hakuna ULAZIMA wa yeye kuja/kwenda asifanye hvyo.
Ila kama hakutakuwa na njia mbadala nyingine tutabaki hukuhuku hasa kwenye mambo ya utafutaji wa Rizki,na maisha Kwa ujumla.Kupanga ni kuchagua
Angalau ufike dar kuosha macho.
 
Si kweli. Nakukatalia. Dar kuna maajabu gani labda? Mfano watu wa arusha dar mnawapa jambo gani la ajabu? Kwanza wakitaka hao nairobi tena ni karibu tu. We inaelekea ni mshamba huna exposure unadhani dar ndo kila kitu 🤣.
Hapa unazungukazunguka tu lakini ukweli ni kwamba hakuna mwenye hela tz ambaye hajawahi kufika dar.

Tanzania mikoa ambayo sijafika ni rukwa katavi, kigoma, kagera na mara. Kwingine kote nimefika. Nimeenda ulaya, middle east na asia mara nyingi.
 
Back
Top Bottom