Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Mbeya huko wakija mjini,,,nyie viazi vya kula Chipsi mtavitoa wapi..???,,,mnataka waje wacheze Pool table au waungane na vijana wa Daslamu kubet.

Yafaa nini watu kuja kwenye mkoa ambao hauzalishi Chochote....??? au mnataka waje wawe Panya Road muwapige Risasi...
Cha kushangaza ndio mkoa unaletewa vilivyo Bora vyote na makapi kubaki na kuliwa na wazalishaji.
 
Nilikuwa dar, nilikuwa naomba nilichoenda kufanya huko kiishe haraka nirudi Mwanza yangu[emoji16], yani mpaka unajiuliza huku watu wanapapendea ninii.....au labda ni ushamba ulikuwa unanisumbua ila honestly sikupapenda kwa lolote, kuhusu majengo marefu nakubali

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama wewe ni mgeni hauwezi kuipenda Dar
 
Kwa mujibu wa JPM ( rip) daslam city ni Ilala pekeake,nyie wa kino,temeke na wengineo ni kama wa mikoani tu
 
Sasa wataenda huko kama hata hawajafika bongo daslam?
Kutoka hapa nilipo naweza kuingia na kutoka Nairobi(the capital city of East Africa) hata mara tatu kwa siku, nairoberians nao wanawaona wadaslam kama washamba flani tu wa kutupa kule!!
20220925_080753.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Njoo huku ununio upepo unakovuma. Btw ac ipo home, ndinga na ofisini.
Ahsante sana execute wewe ndio uko sehemu nzuri walio Tandale kwa kina Diamond alikokulia sijui watasemaje.Ila rafiki yangu hebu njoo huku kanda ya ziwa uone palivyo nitakukatia ticket
 
Ahsante sana execute wewe ndio uko sehemu nzuri walio Tandale kwa kina Diamond alikokulia sijui watasemaje.Ila rafiki yangu hebu njoo huku kanda ya ziwa uone palivyo nitakukatia ticket
Huko nimekuja sana na mwanza nilipaona pa kawaida nadhani kwasababu nilikuwa na matarajio makubwa mno.
 
Back
Top Bottom