Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Dar Kubwa mkuu!! Kuna watu wapo mkoa wanaishi maisha mazuri hawataki hata kuja "DIZIM"

-Nenda Shanty Town au Njiro au Gangilonga.

Dar kuna watu wanakaa sehemu mbovu sana ,ushawai kupita Tandale,manzese,mikocheni nyuma ya tmj,msasani maandazi road,kigogo bondeni near magomeni.
Kwamba hayo maeneo uliyotaja hakuna nyumba?


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nimeishi Nairobi, Johannesburg, cape town, Lusaka hebu na next week naenda DXB from LUN hebu niambie nime miss nini hapo dar! Been in Mwanza, Arusha, Mbeya etc!
 
Nimeishi Nairobi, Johannesburg, cape town, Lusaka hebu na next week naenda DXB from LUN hebu niambie nime miss nini hapo dar! Been in Mwanza, Arusha, Mbeya etc!
Huwezi kwenda kote huko kama hujapata ujanja wa dar.
 
Back
Top Bottom