Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

kuna flight inaanzia kia kwenda New York ?....
Dar mpaka New York ipo? 🤣 Pale unaconnect tu. Watu wanatoka kokote duniani. Kuna ndege kibao zenye regula flights kama KLM, ethiopian, turkish nk,? Uko dunia gani wewe?
 
Hapa unazungukazunguka tu lakini ukweli ni kwamba hakuna mwenye hela tz ambaye hajawahi kufika dar.

Tanzania mikoa ambayo sijafika ni rukwa katavi, kigoma, kagera na mara. Kwingine kote nimefika. Nimeenda ulaya, middle east na asia mara nyingi.
Wapo.
 
Zinaanzia dar? KLM inaanzia kia then inaenda dar. Nimesafiri nazo mara nyingi sana yani. Kama hamjui kitu msilazimishe. Dar isn't everything. Hamatakagi challenge yani mnajiamini nyie ndio mwisho yani. Mmh kazi kweli.
Huyo kaamua kujifanya mjuaji.. klm wenyewe ambao ndio wanatumia sana kia ndege zao nyingi zinaanzia dar.
 
Dar mpaka New York ipo? 🤣 Pale unaconnect tu. Watu wanatoka kokote duniani. Kuna ndege kibao zenye regula flights kama KLM, ethiopian, turkish nk,? Uko dunia gani wewe?
klm inaanzia dsm ndio ije uko sweken mkuu, mipango yote ya hii nchi inaanzia dar, ndege za ethiopia zinaenda uganda kenya bujumbura na adis ababa sa huko si unaenda na gari tu, kwa tanzania ukitaka kwenda US mipango yote daslama, kia kwanza uwanja mdogo huo huwez fananisha na jkia
 
Zinaanzia dar? KLM inaanzia kia then inaenda dar. Nimesafiri nazo mara nyingi sana yani. Kama hamjui kitu msilazimishe. Dar isn't everything. Hamatakagi challenge yani mnajiamini nyie ndio mwisho yani. Mmh kazi kweli.
Viza utapatia dar
 
Back
Top Bottom