Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Waachie wabaki huko huko na furaha yake alionayo wewe unaona kakosa kumbe mwenzio anafuraha maradufu!
Waache!
Wewe endelea na unayo yajua wewe!
KITU USICHO KIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
 
Waachie wabaki huko huko na furaha yake alionayo wewe unaona kakosa kumbe mwenzio anafuraha maradufu!
Waache!
Wewe endelea na unayo yajua wewe!
KITU USICHO KIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
Kufika dar ni dream ya watz wengi.
 
klm inaanzia dsm ndio ije uko sweken mkuu, mipango yote ya hii nchi inaanzia dar, ndege za ethiopia zinaenda uganda kenya bujumbura na adis ababa sa huko si unaenda na gari tu, kwa tanzania ukitaka kwenda US mipango yote daslama, kia kwanza uwanja mdogo huo huwez fananisha na jkia
Mara ya mwisho kupanda KLM flight nimetoka Amsterdam ikatua Kia ndio ikaemda Dar.
 
Zinaanzia dar? KLM inaanzia kia then inaenda dar. Nimesafiri nazo mara nyingi sana yani. Kama hamjui kitu msilazimishe. Dar isn't everything. Hamatakagi challenge yani mnajiamini nyie ndio mwisho yani. Mmh kazi kweli.
Si unaona hapo lazima upite dar?
 
Kusini unayoisemea wewe ni ipi?kama ni LINDI na Mtwara ziondoe;mtu wa kusini akipata hela ya mavuno(ufuta,korosho..) jambo la kwanza ni kuja Dar kufanya 'mahemezi'.

Wajinga wengi wasiofika DAR wapo huko mikoa ya wafugaji:Kanda ya ziwa na kaskazini kwenye maasai wengi.
Hapa umeongea vizuri. Watu wa songea ndio wa kusini wanaohusika hapa.
 
Kuna joto utadhani umo ndani ya tanuri, kuna pollution ya hewa kutokana na moshi wa magari na ndio maana magonjwa hayaishi, kuna shida ya maji katika baadhi ya sehemu, bei ya vyakula nk, ni kubwa mno na ndio maana watu wengi wa Dar wanashindia mihogo ya kuchoma, mlo mmoja kwa siku. Japo wapo wanaoponda maisha lakini hao sio wengi, kifupi Dar ipo kama jehanamu na pepo.
Dar hakuna shida ya chakula labda kama hufanyi kazi Yani buku5 Tu Kwa kigamboni unakula siku nzima huko mbagala buku3 unakula siku nzima, alafu upatikanaji wa hela upo kijana mchakalikaji kurudi getto na elfu20-30 per day ni kitu cha kawaida kabisa mkoani hata ukichomoa elfu 10 mfukoni unaonekana tajiriiii pia kuja Dar co ujanja wala nn kama kuna issue unapga uko uliko we endelea Tu huku ukiset mamb vzr fresh unatimba
 
Si unaona hapo lazima upite dar?
Inashusha KIA kwanza, we mbona kichwa ngumu. Na kuna ndege zinaishia KIA wala haziendi JNIA. TEMBEA ujifunze. Sio kukaa tu dar na kudhani umemaliza.
 
Inashusha KIA kwanza, we mbona kichwa ngumu. Na kuna ndege zinaishia KIA wala haziendi JNIA. TEMBEA ujifunze. Sio kukaa tu dar na kudhani umemaliza.
Naona unakomaa kijana wa chuga
 
Naona unakomaa kijana wa chuga
Mi tena nimezaliwa dar, nimekulia mikocheni na kigamboni. We ndo wakuja. Ila nina exposure sio mshamba. Nimembea mjomba. Ata mimi at some point nilikuwa na mentality kama yako yani ukishakuwa mtoto wa mjini yani umemaliza yani. Kumbe ujinga mtupu, tembea ukatolewe tongotongo.
 
Nimefika karibu mikoa yote ya bara na visiwani. Nimefika ulaya na asia hivyo sina ushamba.
 
Back
Top Bottom