Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Binadam tuna penda sana kujifariji unakuta hapo mchizi wa kimanzichana ila nae anajitapa[emoji16] naonaga ni upumbavu wa hali ya juu mji wa jenge wengine mji sifu wenye mnaishi kwenye vibanda vya buza,na tandale.

Kwa asilimia kubwa mnao waza hayo mawazo amnaga hata ka passo yani ndo mnajifariji kupitia walivyo jenga wenzenu,hebu njoeni kijijini huku tupendezeshe na sisi miji yetu.
Jamaa hujui hapa jf kila mtu anao usafiri na mjengo wa maana?

Halafu sasa kama hujaweza kununua chako ndio hata usifurahie kuona vya wenzio?
 
Kwa Mtanzania kiukweli kufika Dar ni moja ya hatua muhimu kupitia kwenye maisha yako
 
Dar es Salaam ndio Tanzania 😄😄😄 sihami


Kuna joto utadhani umo ndani ya tanuri, kuna pollution ya hewa kutokana na moshi wa magari na ndio maana magonjwa hayaishi, kuna shida ya maji katika baadhi ya sehemu, bei ya vyakula nk, ni kubwa mno na ndio maana watu wengi wa Dar wanashindia mihogo ya kuchoma, mlo mmoja kwa siku. Japo wapo wanaoponda maisha lakini hao sio wengi, kifupi Dar ipo kama jehanamu na pepo.
 
Wapo wengi sana nikwambie. Unajia watu wa mikoani mkija dar mnadhani dar ndio kila kitu n
Hizo ni stori za kitaa. Kila mwenye hela tz lazima afike dar.
 
Kuna joto utadhani umo ndani ya tanuri, kuna pollution ya hewa kutokana na moshi wa magari na ndio maana magonjwa hayaishi, kuna shida ya maji katika baadhi ya sehemu, bei ya vyakula nk, ni kubwa mno na ndio maana watu wengi wa Dar wanashindia mihogo ya kuchoma, mlo mmoja kwa siku. Japo wapo wanaoponda maisha lakini hao sio wengi, kifupi Dar ipo kama jehanamu na pepo.
Usifikie mnyamani, tandale, buguruni, temeke, vingunguti, manzese au gmboto. Fikia maeneo kama mbweni, masaki, oysterbay, upanga etc hutakutana na hayo.
 
Back
Top Bottom