Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

Tuwafanyaje Watanzania ambao hawajawahi kufika Dar es Salaam?

ushauri waje na hela tu
tabia watazikuta huku
nguo watazikuta huku
magonjwa watayakuta huku
jinsi ya kutembea watajifunza huku huku dar
watajifunza kula chips yai

kubwa kuliko yote ni jinsi ya kuvuka barabara hao wanaotoka mkoani waambiwe kuna magari mengi wakisubiri yaishe watalala barabarani

Karibuni mjini wa shamba
Hahahaha umemaliza
 
Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?

Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
Kusini unayoisemea wewe ni ipi?kama ni LINDI na Mtwara ziondoe;mtu wa kusini akipata hela ya mavuno(ufuta,korosho..) jambo la kwanza ni kuja Dar kufanya 'mahemezi'.

Wajinga wengi wasiofika DAR wapo huko mikoa ya wafugaji:Kanda ya ziwa na kaskazini kwenye maasai wengi.
 
Back
Top Bottom