Jamaa hujui hapa jf kila mtu anao usafiri na mjengo wa maana?Binadam tuna penda sana kujifariji unakuta hapo mchizi wa kimanzichana ila nae anajitapa[emoji16] naonaga ni upumbavu wa hali ya juu mji wa jenge wengine mji sifu wenye mnaishi kwenye vibanda vya buza,na tandale.
Kwa asilimia kubwa mnao waza hayo mawazo amnaga hata ka passo yani ndo mnajifariji kupitia walivyo jenga wenzenu,hebu njoeni kijijini huku tupendezeshe na sisi miji yetu.
Wapo wengi sana nikwambie. Unajia watu wa mikoani mkija dar mnadhani dar ndio kila kitu nNitashangaa akiwepo mtu wa level hiyo ambaye hajawahi kufika dar.
Kama upo huko utaanzia wapi kufika huko?Be resoanable!Unaanzia dar kufika huko.
KIA ipo dar? 🤣 Majinga yapo mengiNdege unapandia dar kwenda new york
Dar es Salaam ndio Tanzania 😄😄😄 sihami
Usifikie mnyamani, tandale, buguruni, temeke, vingunguti, manzese au gmboto. Fikia maeneo kama mbweni, masaki, oysterbay, upanga etc hutakutana na hayo.Kuna joto utadhani umo ndani ya tanuri, kuna pollution ya hewa kutokana na moshi wa magari na ndio maana magonjwa hayaishi, kuna shida ya maji katika baadhi ya sehemu, bei ya vyakula nk, ni kubwa mno na ndio maana watu wengi wa Dar wanashindia mihogo ya kuchoma, mlo mmoja kwa siku. Japo wapo wanaoponda maisha lakini hao sio wengi, kifupi Dar ipo kama jehanamu na pepo.
Sawa sawa Mwigulu NchembaNashaur iundwe tozo kwa watu dsm kuchangia nauli kwa watu wa mikoan kwenda dsm
Tozo hii iwekwe kwenye kila chipsi yai 1 iwekwe tozo ya tsh 300/=
Na chipsi kavu tsh 200/=
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app