Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.

Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?

Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.

Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.

Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.

Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.

Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.​
Hapo umebeba point kubwa sana. Ndoa nzuri si kuwa mume na mke tu, bali kuwa marafiki, washirika na sehemu ya amani ya mwenzako. Hiyo kucheka, kuaminiana na kusaidiana ndiyo hujenga ukaribu wa kweli. Ila suala la kuchepuka si sehemu ya urafiki wa ndoa—uaminifu ndio unaolinda hiyo friendship isije ikavunjika.
 
Eeh mzee hiyo demu anakuchezea tu, lakini usidhani ni mchezo... akikwambia hivyo ni kukupima nia yako. Mimi nkiambiwa hivyo na mke wangu ningecheka lakini ningejua ananichunguza. Haha usicheze na moto, endelea kuwa rafiki yake lakini usikubali kichepuke hata kidogo, maana akikushika unakula matokeo. ngoma
 
Back
Top Bottom