Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.