Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.

Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?

Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.

Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.

Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.

Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.

Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.​
Michezo hiyo unalomfanyia ndo alokufanyia.Utakuja kushuhudia hapa
 
Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.

Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?

Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.

Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.

Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.

Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.

Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.​
Neno la Mzee naliheshimu sana
 
Ndio maana katika kuoa upaswa uchagua pisi matata , maini matupu, hayo mambo ya kujiokotea bora liende ndio maana mnachepuka bwashee
Unazingua sana mangi, uaminifu wa mwanaume haupimwi kwa kuchagua pisi matata, maini na mazaga....
....uaminifu ni maamuzi ya dhati toka moyoni, usipofanya hivyo hata umuoe malaika utatafuta kazi za pembeni tu
 
Uongo, Nyumbani Nina wake wawili wakali Sana hata Wewe hujawahi kuwapatia kwenye maisha yako na bado nachapa manzi nyingine umenianbia hata nikiwa na wake 10 yenyewe itakuwa ya 11 haina shida
 
Unazingua sana mangi, uaminifu wa mwanaume haupimwi kwa kuchagua pisi matata, maini na mazaga....
....uaminifu ni maamuzi ya dhati toka moyoni, usipofanya hivyo hata umuoe malaika utatafuta kazi za pembeni tu
Bwashee wachepukaji wengi wamejiokotea bora liende , mtu mwenye mke mchepukaji lazima mke wake awe pwagu na pwaguzi Bwashee, chunguza.
 
Back
Top Bottom