Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

Unamkosea sana na ndio maana haupo tayari kumweleza
Tuliopo kwenye ndoa, tunaona changamoto nyingi; utapenda upige shoo kila wakati mwenzako anakuwa hataki kwa sababu ya michosho , sasa kutatua hiyo hali na kumfanya awe na hamu na wewe, unamuachia gap kwa kuchapa huko kwingine.​
 
Labda uwe na matatizo mengine ya kiroho, rafiki yako ataachaje kukutimizia haja yako kila unapohitaji? Tena wewe unapata muda naye kwa kufurahia pamoja, hilo la unyumba litashindikana?
 
Labda uwe na matatizo mengine ya kiroho, rafiki yako ataachaje kukutimizia haja yako kila unapohitaji? Tena wewe unapata muda naye kwa kufurahia pamoja, hilo la unyumba litashindikana?
Wengine kwa siku tunaenda mara 10, peke yake hawezi; ndio maana mtetea humkimbia jogoo
 
W

Wali unabaki ule ule tu boss!
Utachagua sahani ipi?
cheka8.jpg
 
Ndio maana nimeanza kwa kusema kama huna matatizo ya kiroho mke wako anatosha, ila kama una shida ya kiroho huyo mke wako hatakutosha.
Sio matatizo ya kiroho, ile ni afya, mirija ikiwa haina msongamano wa damu chafu, au kuziba kwa mafuta lazima viungo vipumue. Wala sadaka wanadanganya watu kwa kusema mambo ya kiroho ili kutapeli watu.​
 
Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.

Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?

Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.

Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.

Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.

Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.

Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.​
Hongera Mangi...Ilaaaa acha kuchepuka unatia mchanga kwenye kitumbua, usijesema sikukuambia.
 
Back
Top Bottom