Akichepuka mwanamke ndiyo kunakuwa hakuna ndoa na siyo kinyume chake.Kama unachepuka hakuna ndoa hapo
Akichepuka mwanamke ndiyo kunakuwa hakuna ndoa na siyo kinyume chake.Kama unachepuka hakuna ndoa hapo
Uzeeni nitahitaji faraja kubwa kutoka kwa watoto 20Hongera Mangi...Ilaaaa acha kuchepuka unatia mchanga kwenye kitumbua, usijesema sikukuambia.
Mambo ya kiroho na kwendaNdio maana nimeanza kwa kusema kama huna matatizo ya kiroho mke wako anatosha, ila kama una shida ya kiroho huyo mke wako hatakutosha.
Bwashee, achana na maneno ya humu huwenda nina mke wa ndoa kabisa😅 hauwezi juaMkuu wewe si kjataa ndoa? Mambo ba hiik madas haikuhusu
Bwashee, nikiwa na mwanamke hata kwenye mahusiano ya kawaida tu ,huwa sioni mwingine kabisa , uchepukaji ni tabia mbovu ,mimi nawacheka tu mkicheka walevi 😅Hahaha acha uphaller mangiii
Suala la ngono linahusisha mambo mawili kiroho na kimwiliMambo ya kiroho na kwenda
Round nyingi, vina uhusiano gani?
Wewe binafsi huna maelezo ya kutetea hoja yako?Suala la ngono linahusisha mambo mawili kiroho na kimwili
Mithali 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Sitoi maoni binafsi lazima yatoke kwenye neno la MunguWewe binafsi huna maelezo ya kutetea hoja yako?
🤣🤣🤣Bwashee, achana na maneno ya humu huwenda nina mke wa ndoa kabisa😅 hauwezi jua
😅😅😅
Hilo neno ulilonukuu halina uhusiano na hoja yako. Tafuta verse nyingine.Sitoi maoni binafsi lazima yatoke kwenye neno la Mungu
Kimario ni wewe kweliNimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.
ha ha ha haSuala la ngono linahusisha mambo mawili kiroho na kimwili
Mithali 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Kaka uwezi tetea dhambi,kama unachepuka ww n mzinzi tu
Bwashee, nikiwa na mwanamke hata kwenye mahusiano ya kawaida tu ,huwa sioni mwingine kabisa , uchepukaji ni tabia mbovu ,mimi nawacheka tu mkicheka walevi 😅
Kimario ni wewe kweli
Hakuna anauehalalisha mangii, ulevi wa pombe, ngono, zote ni tabia mbayaBwashee, nikiwa na mwanamke hata kwenye mahusiano ya kawaida tu ,huwa sioni mwingine kabisa , uchepukaji ni tabia mbovu ,mimi nawacheka tu mkicheka walevi 😅
Halafu hapohapo anadai mkewe ni rafiki yakeUchepuke huyo mke umemuoa wanini sasa ? Kama unatamani wengine huko nnje
Anko kwa hiyo kila anayepinga uchepukaji ni mnafiki?Unafiki umetutawala waswahili,kila reply hapa inaukana uchepukaji.
Pole mleta mada kwa kujikuta unashauri watu waitumikie dhambi.
Asee nikiwa kwenye mapenzi na mtu na mpenda kuchepuka naona ni hadithi za wapumbavu tuHalafu hapohapo anadai mkewe ni rafiki yake
Pombe ina shida gani?Hakuna anauehalalisha mangii, ulevi wa pombe, ngono, zote ni tabia mbaya