Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Kuna mirinda, pepsi, koka, n.k ukiamua kunywa koka miaka yako yote ni wewe tu; muhimu kila moja ina ladha yake.Unafiki umetutawala waswahili,kila reply hapa inaukana uchepukaji.
Pole mleta mada kwa kujikuta unashauri watu waitumikie dhambi.