Hapo umebeba point kubwa sana. Ndoa nzuri si kuwa mume na mke tu, bali kuwa marafiki, washirika na sehemu ya amani ya mwenzako. Hiyo kucheka, kuaminiana na kusaidiana ndiyo hujenga ukaribu wa kweli. Ila suala la kuchepuka si sehemu ya urafiki wa ndoa—uaminifu ndio unaolinda hiyo friendship isije ikavunjika.Nimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.
Tufanyeni tuu marafiki...ila kwa akiliAya, tuwafanye wapenzi wetu kuwa marafiki
Unafaa kabisa kuwa mkeTufanyeni tuu marafiki...ila kwa akili
Tayari mimi ni mke....Unafaa kabisa kuwa mke
Umetulia kwenye ndoa?Tayari mimi ni mke....
Sijatulia naruka ruka....😅Umetulia kwenye ndoa?
Nikivuna mazao yangu nitakuja, tukashangae shangae kambi za wakimbizi.Sijatulia naruka ruka....😅
Huyo hataki muachane, ni wakufa na kuzikana.Mi wangu aliniambia tu kwa upole ukichepuka 'tumia kondom'.
Uje na mkeo twende pamojaNikivuna mazao yangu nitakuja, tukashangae shangae kambi za wakimbizi.
Huo sio uzalendo sasaUje na mkeo twende pamoja
endelea kumfanya rafiki wen.ko anawapa 071Tuwafanye kuwa marafiki ili kula mema ya dunia
Tupe mrejeshoLeo nmerud hapa baada ya kupigwa na kitu kizito😆🙊
Tupe mrejesho
Jana kaitumia Maulid vizuri😐nasubria leo tulale aniguseTupe mrejesho
Wahenga wanasema, ni vizuri kutembea kwa mwendo wa kobe.