Tuwaheshimu wana JamiiForums ambao hawajawahi kupigwa ban

Kuna wengine wamefutiwa account kabisa kwa sababu ya kuendekeza upuuzi i.e cocastic

wazee hao waheshimiwe sana huko juu
 
cocastic kafutiwaje account?
Huyu hii nilishaiona toka zamani,walau kwa mpwayungu village alikua na hoja zake ila namna ya uwasilishaji ndio ilikua ya kuudhi kwa wenye taaluma/kada yao,ila huyu (Coca) ye alijitanabaisha kabisa kushabikia mambo ya upinde kitu ambacho kwa jamii yetu si sawa hata kidogo....Wapo wanaosema anasoma moja ya taaluma ngumu tena kwenye chuo kongwe kuliko vyote hapa kwetu,najiuliza ndio wataalamu wetu hawa tunazalisha waje na mawazo chanya kukomboa taifa.....?
Anyways ana deserve ban
 
Sasa kumbe JF inaweza kuwaadhibu wote wanaoenenda kinyume na sheria,kanuni,taratibu na mazoea ya JF, kwa nini serikali inashindwa kuwaadhibu hawa wanaoiba hela za wananchi na kuenenda kinyume na miongozo yao ya kazi!!??

Mh. Rais Samia tafadhali waombe wana JF wakutengenezee mfumo rafiki wa kuwaadhibu wote wanaoenda kinyume na taratibu za nchi (kama huo mfumo haupo) ili taifa na wananchi tupone.
 
Chama cha Majizi
Chanzo cha Matatizo
 
Kwahiyo mimi nilishawahi kuchezea Ban lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…