Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

Tuige waliofuta baadhi ya digrii!!!....Tuige....Tuige..
Wewe kama hazukufai acha wengine wasome.
 
Hongera mkuu...
 
Naomba namba yako PM tafadhali ningependa kukutembelea ili nipate kujifunza zaidi, maana hawa wataalamu wa nyuki sijawahi kukutana nao mtaani sasa sijafahamu huwenda wengi wao waliohitimu wamebadili fani baada ya kuingia mtaani.

Ama nielekeze ni wapi nawaweza wapata hawa wataalamu maana nyuki ni kati ya wadudu wasioshambuliwa kirahisi na magonjwa
 
Naomba nikuunganishe kwenye group la traders wa asali nje ya nchi. Huko utakutana na wadau wengi zaidi.
 
Computer science na engineering in computer engineering hizi zina umuhimu kwa ukimwengu wa sasa sema tu Tanzania bado kama vile mazingira yoa sio mazuri

Nazo kama vile ingefaa wazionganishe tu iwe moja kama inawezekana
Computer science, Computer engineering, Telecommunications zote hizi zina angukiwa kwenye Electrical Engineer... Iwe tu Bsc Electrical major in Telecom, computer simple tu
 
Tusome ipi sasa boss tutakayoifanyia kazi 'Mechanical engineering' au 'Civil engineering'.?
 
Naomba namba yako PM tafadhali ningependa kukutembelea ili nipate kujifunza zaidi, maana hawa wataalamu wa nyuki sijawahi kukutana nao mtaani sasa sijafahamu huwenda wengi wao waliohitimu wamebadili fani baada ya kuingia mtaani
Hii shahada ilikuwa haitolewi hapa nchini, wataalam wachache tuliokuwa nao wengi wao walikuwa wamesoma Australia, kuanzia mwaka jana SUA wameanza kutoa shahada hii kupitia "campus" ya Mizingo Pinda ilioko Katavi, nasikia pia UDSM wanatoa shahada hii, lakini haina muda mrefu...kwa hivyo naaamini wataalam wataanza kumwagika mitaani punde!
 
Hapa umechemka kaka, yaani Computer Science iwe ndani ya BSc. Electrical Engineering? Duuh, hatari sana
Computer science ni sehemu ya Electrical Engineering.. kama ilivyo Computer Engineering ilivyo part au branch ya Electrical Engineering.. kama ilivyo Computer science sehemu ndogo ya Computer engineering... kama mahesabu yanapanda ushaelewa
 
Halali aisee,,,check km hii,,,et bachelor of science in business statistics
 
Mm kupunguza course at University level sijaunga mkono, instead wafanye jitihada hata ndani ya 10 years wapate walimu wengi wa masomo ya sciences kuzidi wa arts ,then from there waweke msisitizo kwenye science ili angalau 1/2 if not 3/4 wasome sciences, from there ndipo hata badhi ya hizo courses at University level zitaweza ku scrapped out. Iwe process and not an overnight decision.
 
  • Bachelor degree in gender and community development
  • bachelor degree in community development
  • bachelor degree in adult education and community development
  • bachelor in social work
  • Bachelor of art in community development
Duh!
Kozi za ajabu hizi
 
Bachelor of sociology iwe ya kwanza

Bachelor of development studies

Hayo makozi hata anaeyesomea hajui akitoka hapo anaenda kuwa Nani[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂
Labda anakuwa katibu kata!
 
Kwa Tanzania inafaa kufuta kozi zoote za kile chuo cha siasa Kivukoni, na kukifunga kabisaaaa
 
Kufuta horticulture si sahihi kabisa; ni kozi ambayo mtu anaweza kujiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…