Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

Tuige waliofuta baadhi ya digrii!!!....Tuige....Tuige..
Wewe kama hazukufai acha wengine wasome.
 
Hizo figures wanazo TANTRADE na TFS, ila nimeuliza hivyo kwa sababu mimi niko kwenye sekta ya asali na inatengeneza fedha nyingi sana kupeleka Saudia Arabia, Yemen, Kuwait bila kusahau katika soko la ndani.

Pengine wewe una hoja nzuri zaidi za kuonyesha kwamba sekta ya asali ni mzigo kwa taifa.

Kwa maoni yangu naona bado tuna wataalam wachache sana kwenye hiyo sekta.

Nimelishangaa sana pendekezo lako la kufuta programu zinazoandaa wataalam wa nyuki.
Hongera mkuu...
 
Naomba namba yako PM tafadhali ningependa kukutembelea ili nipate kujifunza zaidi, maana hawa wataalamu wa nyuki sijawahi kukutana nao mtaani sasa sijafahamu huwenda wengi wao waliohitimu wamebadili fani baada ya kuingia mtaani.

Ama nielekeze ni wapi nawaweza wapata hawa wataalamu maana nyuki ni kati ya wadudu wasioshambuliwa kirahisi na magonjwa
 
Naomba nikuunganishe kwenye group la traders wa asali nje ya nchi. Huko utakutana na wadau wengi zaidi.
 
Computer science na engineering in computer engineering hizi zina umuhimu kwa ukimwengu wa sasa sema tu Tanzania bado kama vile mazingira yoa sio mazuri

Nazo kama vile ingefaa wazionganishe tu iwe moja kama inawezekana
Computer science, Computer engineering, Telecommunications zote hizi zina angukiwa kwenye Electrical Engineer... Iwe tu Bsc Electrical major in Telecom, computer simple tu
 
ndio mzee maake hii course imejaa design kibao za anttena na other staffs za mawasiliano kama sattellite amabazo kwa africa bado sanaa aisee hii course ipo kwa ajili ya kutambiana tu kuanzia ma lecturer hadi wanafunzi mimi nimesoma hii kitu na elewa vizuri now nipo kazini na watu wa CS tunajenga taifa
OVA
Tusome ipi sasa boss tutakayoifanyia kazi 'Mechanical engineering' au 'Civil engineering'.?
 
Naomba namba yako PM tafadhali ningependa kukutembelea ili nipate kujifunza zaidi, maana hawa wataalamu wa nyuki sijawahi kukutana nao mtaani sasa sijafahamu huwenda wengi wao waliohitimu wamebadili fani baada ya kuingia mtaani
Hii shahada ilikuwa haitolewi hapa nchini, wataalam wachache tuliokuwa nao wengi wao walikuwa wamesoma Australia, kuanzia mwaka jana SUA wameanza kutoa shahada hii kupitia "campus" ya Mizingo Pinda ilioko Katavi, nasikia pia UDSM wanatoa shahada hii, lakini haina muda mrefu...kwa hivyo naaamini wataalam wataanza kumwagika mitaani punde!
 
Hapa umechemka kaka, yaani Computer Science iwe ndani ya BSc. Electrical Engineering? Duuh, hatari sana
Computer science ni sehemu ya Electrical Engineering.. kama ilivyo Computer Engineering ilivyo part au branch ya Electrical Engineering.. kama ilivyo Computer science sehemu ndogo ya Computer engineering... kama mahesabu yanapanda ushaelewa
 
Mm kupunguza course at University level sijaunga mkono, instead wafanye jitihada hata ndani ya 10 years wapate walimu wengi wa masomo ya sciences kuzidi wa arts ,then from there waweke msisitizo kwenye science ili angalau 1/2 if not 3/4 wasome sciences, from there ndipo hata badhi ya hizo courses at University level zitaweza ku scrapped out. Iwe process and not an overnight decision.
 
Bachelor of sociology iwe ya kwanza

Bachelor of development studies

Hayo makozi hata anaeyesomea hajui akitoka hapo anaenda kuwa Nani[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂
Labda anakuwa katibu kata!
 
Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa.

Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo

Scrapped courses
Bachelor of Science in Horticulture
Bachelor of Science in Human Nutrition
Bachelor of Science in Meteorology
Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt.
Bachelor of Adult and Community Education
Bachelor of Agricultural Extension Education
Bachelor of Arts in Development Economics
Bachelor of Community Psychology
Bachelor of Development Studies
Bachelor of Industrial and Organizational Psychology
Bachelor of Science in Business Statistics
Bachelor of Science in Conservation Biology
Bachelor of Science in Telecommunication Engineering
Bachelor of Science in Quantitative Economics
Bachelor of Agricultural and Rural Innovation
Bachelor of Library and Information Sciences.
Bachelor of Archives and Record Management
Bachelor of Science and Constructive Management
Bachelor of Computer Engineering.
Kwa Tanzania inafaa kufuta kozi zoote za kile chuo cha siasa Kivukoni, na kukifunga kabisaaaa
 
Kufuta horticulture si sahihi kabisa; ni kozi ambayo mtu anaweza kujiajiri
 
Back
Top Bottom