Tuwakumbuke mashujaa wetu wazalendo waliopigana dhidi ya Mjerumani

KILA MZEE MUISLAM NI MZEE WANGU,NITAJIE WEWE WAZEE WAKO WALIOPIGANA NA WAKOLONI KAMA HAO KINA MKWAWA
Hao wazee wako waliodanganya watu wajipake madawa risasi hazitawaingia ndo unajivunia.watu walioshindwa vita kwa kuamini ushirikina?Mimi mzee wangu ni Julius Nyerere kiboko ya waswahili
 
BAKIA NA WAZEE WAKO,NA MIMI NABAKIA NA WAZEE WANGU HAWA KINA ALISONGEA MBANO,ABDUL HAMID MFARANYAKI.NA KADHALIKA
 
Wengi wa wanaoitwa mashujaa ni wachuuzi wa biashara ya utumwa nyuma ya pazia,ukimwacha meli na sina hayo akina mirambo ,kwawa na bushiri walikuwa ni wauzaji wa watumwa
 
Back
Top Bottom