Tuwakumbuke mashujaa wetu wazalendo waliopigana dhidi ya Mjerumani

Wengi wa wanaoitwa mashujaa ni wachuuzi wa biashara ya utumwa nyuma ya pazia,ukimwacha meli na sina hayo akina mirambo ,kwawa na bushiri walikuwa ni wauzaji wa watumwa

Wachuuzi wa biashara ya utumwa wakageuka wanajeshi hodari wa kupigana na mjerumani?teh teh teh...
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Bila Mgalatia Okello Zanzibar mngekuwa mnaongea kiarabu.
Kwa hiyo mpaka mmekwenda kutafuta tarishi Uganda kwani nyie wa hapa wote mlikuwa vibaraka wa wakoloni.Ass Lickers wa Colonialism
 
Hapo sasa,hata mimi nastaajabu
 
kwani uongo??kama wazee wako unao ambao walipigana na mjerumani wataje hapa tuwajue
Kinjekitile Ngwale, Mtwa Mkwawa, Mangi Marleale wa Marangu, Mangi Sina wa Kibosho, Isike wa Tabora, Mtemi Mirambo wa Tabora, Songea Mbano wa Ruvuma n.k.
Hao wote ni wazee na watemi wetu wakiwa na dini za babu zetu.
 
SONGEA MBANO JINA LAKE NI ALISONGEA MBANO,HIYO ALI INAONDOLEWA STRATEGICALLY ILI KUKUFANYA UJUE HAKUWA USTADH,,MIRAMBO WAS A MUSLIM,MKWAWA WAS A MUSLIM...
 
Friends and Our Enemies,

Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa.

1. Alisongea Mbano

2. Abdallah Mchimani

3. Abdulhamid Mfaranyaki

Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji resistance na kwa huyo ALISONGEA MBANO NDIYO HASA Jina la SONGEA Limezaliwa kwa shujaa huyo.

4. Abushiri bin Salim, huyu mwamba aliongoza mapambano dhidi ya mjerumani upande wa pangani na bagamoyo.,

5. Selemani Mamba, huyu mwamba alishiriki sana harakati vita dhidi ya mjerumani kanda ya Kusini za Lindi na Mtwara.

Hakika mashujaa walikuwa wengi sana, leo nimeona niwakumbuke hawa na historia izidi kuwapa heshima wazalendo hawa.

Pale Kilwa Kivinje kwenye mnara wa maaskari wa VITA YA MAJI MAJI UTASHANGAA HAKIKA KUONA MAJINA YOOTE NI MAJEMEDARI HAWA WA KIISLAM.

Nenda Songea ndani ya PERAMIHO, kuna makaburi ya wajerumani pale ukisoma wahusika waliowashughulikia wale wakoloni ni hawa hawa MAJEMEDARI WETU.

Kinachonishangza na kunistaajabisha, mbona sioni majina ya upande wa pili katika harakati za kupigana na mkoloni ndani ya TAIFA HILI?

TUNAWAKUMBUKA SANA MASHUJAA WETU, ALLAH AZIDI KUWAPA PUMZIKO JEMA HUKO MLIKO.

Bahati mbaya sana WATOTO WETU HAWAFUNDISHWI historia kama hii mashuleni.
Wakina clemence , rupia na wengine
 
Dini za kuletewa zimetuletea shida sana

Ova
 
Sijui wahaya na wanyakyusa walipigana vita ipi
Hizo vita zilichangiwa na udini.Wakristo walishapokea dini ya Muzungu wangepigana ili iweje? Vita hizi ulikuwa ni mgongano wa tamaduni.Mzee Chinua anasema:Things fall apart na kisha No longer at ease.Wakristo walikaa wakaona This time tommorow na leo umagharibi umetamalaki.Wakati muda unaenda matiti waislamu walikuwa wanapigana sababu ya tofauti za dini.
 
The BS,
Mtwa Mkwawa jina lake ni Abdallah.
Mkwawa alisilimishwa na Abushiri bin Salim nyumbani kwake Kalenga.
ALLAHU AKBAR,ALLAHU AKBAR,ALLAHU AKBAR...

HAKIKA HISTORIA NYINGI NA PANA YA NCHI HII IMEFICHWA ,

USIACHE KUTUPA MADINI YAKO MWALIMU WETU.
 
Sijui wahaya na wanyakyusa walipigana vita ipi
Wanyakyusa walikuta na Ustaarabu wao na culture zao.
So hakukua na res
istance sana.
Isipokua vita kwa makabila km ngoni na wengine zilipiganwa.
Kulikua na wezi wachache wa mifugo kwenye kambi za Wajerumani,ambao walikua wanashughulikiwa na wenyewe Wajerumani na kupokonywa mifugo hiyo.
Lakini vita haswa na wakoloni haikuwepo,ndio maana missionar nyingi zilijengwa huko na makanisa.
Wajerumani na Waingereza walikuta ustaarabu huko.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...sQFnoECCYQAQ&usg=AOvVaw34_qlWad-XlsIopbRYRRLN
 
Friends and Our Enemies,

Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa.

1. Alisongea Mbano

2. Abdallah Mchimani

3. Abdulhamid Mfaranyaki

Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji resistance na kwa huyo ALISONGEA MBANO NDIYO HASA Jina la SONGEA Limezaliwa kwa shujaa huyo.

4. Abushiri bin Salim, huyu mwamba aliongoza mapambano dhidi ya mjerumani upande wa pangani na bagamoyo.,

5. Selemani Mamba, huyu mwamba alishiriki sana harakati vita dhidi ya mjerumani kanda ya Kusini za Lindi na Mtwara.

Hakika mashujaa walikuwa wengi sana, leo nimeona niwakumbuke hawa na historia izidi kuwapa heshima wazalendo hawa.

Pale Kilwa Kivinje kwenye mnara wa maaskari wa VITA YA MAJI MAJI UTASHANGAA HAKIKA KUONA MAJINA YOOTE NI MAJEMEDARI HAWA WA KIISLAM.

Nenda Songea ndani ya PERAMIHO, kuna makaburi ya wajerumani pale ukisoma wahusika waliowashughulikia wale wakoloni ni hawa hawa MAJEMEDARI WETU.

Kinachonishangza na kunistaajabisha, mbona sioni majina ya upande wa pili katika harakati za kupigana na mkoloni ndani ya TAIFA HILI?

TUNAWAKUMBUKA SANA MASHUJAA WETU, ALLAH AZIDI KUWAPA PUMZIKO JEMA HUKO MLIKO.

Bahati mbaya sana WATOTO WETU HAWAFUNDISHWI historia kama hii mashuleni.
Mmenikumbusha mbali sana.. tulipigana nao vibaya mno. Kuna mjerumani mmoja nilimrusha angani akakaa kam siku mbili hivi akiwa juu sisi huku chini tunaendeleza kichapo .. shwa shwa pang panfgi fyii shwaa yan saut za silaha hizo ,ile ametua nikapiga bonge moja ya mtekee akarushwa km kutoka hapa na ujiji aloooo. Apo nimejam hatari mmoja ananikita beto la moyo nikamchek afu nikachekaaa nikalichomoa beto lile amenikita kwenye moyo kwa hasira nikalitafuna.. afu moyo nikauto nikauchomoa wake nikaiweka kwangu. Alooo nimenikumbusha mbali sana. Abushiri tulimtuma akalete samaki pangani ..mara ghafla tunasikia kalinzisha huko. Wachen asee
 
kwa hivyo ma-chief wengine walikua machawa? kumbe uchawa ulianza zamani
 
Kwani hawakutaka maendeleo na wao sehemu ambazo hazikutawaliwa au zilizokuwa na upinzani sana hazina maendeleo kama.
Mfano Kilimanjaro bila wakoloni mwamko wa elimu na biashara wasingekuwa nao
 
Hivi tunaweza kusema kwamba tumemshinda mjerumani kweli ili hali tunaufuata ukristo? Binafsi sidhani.
Ukristo sio ujerumani hata tungemshinda still Ukristo haukwepeki.
Missionaries walikuja na mission zao na wakoloni walikuja na mission zao.
Umissionary sio ukoloni
 
Friends and Our Enemies,

Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa.

1. Alisongea Mbano

2. Abdallah Mchimani

3. Abdulhamid Mfaranyaki

Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji resistance na kwa huyo ALISONGEA MBANO NDIYO HASA Jina la SONGEA Limezaliwa kwa shujaa huyo.

4. Abushiri bin Salim, huyu mwamba aliongoza mapambano dhidi ya mjerumani upande wa pangani na bagamoyo.,

5. Selemani Mamba, huyu mwamba alishiriki sana harakati vita dhidi ya mjerumani kanda ya Kusini za Lindi na Mtwara.

Hakika mashujaa walikuwa wengi sana, leo nimeona niwakumbuke hawa na historia izidi kuwapa heshima wazalendo hawa.

Pale Kilwa Kivinje kwenye mnara wa maaskari wa VITA YA MAJI MAJI UTASHANGAA HAKIKA KUONA MAJINA YOOTE NI MAJEMEDARI HAWA WA KIISLAM.

Nenda Songea ndani ya PERAMIHO, kuna makaburi ya wajerumani pale ukisoma wahusika waliowashughulikia wale wakoloni ni hawa hawa MAJEMEDARI WETU.

Kinachonishangza na kunistaajabisha, mbona sioni majina ya upande wa pili katika harakati za kupigana na mkoloni ndani ya TAIFA HILI?

TUNAWAKUMBUKA SANA MASHUJAA WETU, ALLAH AZIDI KUWAPA PUMZIKO JEMA HUKO MLIKO.

Bahati mbaya sana WATOTO WETU HAWAFUNDISHWI historia kama hii mashuleni.
Jalafu baadaye kuna jamaa alikuja kutokea akaongoza harakati za Tanganyika kudai Uhuru, yule jamaa alikuwa anaitwa Juma Lyusi Manyere (Ingawa wakoloni walikuwa wana muita Julius Nyerere)
 
Back
Top Bottom