Tuwakumbuke wachezaji wanaochomekea jezi uwanjani

Tuwakumbuke wachezaji wanaochomekea jezi uwanjani

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Zamani sheria za mpira ziliwataka wachezaji wa mpira wa miguu wawapo uwanjani basi hawana budi kuwa wamechomekea jezi zao ndani ya bukta zao. Ika baadae FIFA wakaja wakaifuta sheria ile.

Bado kuna wachezaji wachache wamesalia na mtindo huo wa kuchomekea jezi muda wote wa mchezo. Hebu leo tuwakumbuke wanandinga hao.

Mimi naanza na hawa wafuatao:

1. Simon Francis wa Bournemouth
2. Scott Parker

images-1.jpeg
images.jpeg
 
Back
Top Bottom