Tuwakumbuke wachezaji wanaochomekea jezi uwanjani

Tuwakumbuke wachezaji wanaochomekea jezi uwanjani

Zamani sheria za mpira ziliwataka wachezaji wa mpira wa miguu wawapo uwanjani basi hawana budi kuwa wamechomekea jezi zao ndani ya bukta zao. Ika baadae FIFA wakaja wakaifuta sheria ile.

Bado kuna wachezaji wachache wamesalia na mtindo huo wa kuchomekea jezi muda wote wa mchezo. Hebu leo tuwakumbuke wanandinga hao.

Mimi naanza na hawa wafuatao:

1. Simon Francis wa Bournemouth
2. Scott Parker

Hussein Amani Masha. Huyu midfield wa zamani wa Wekundu wa Msimbazi utanashati wake ulizidi kiasi cha kwamba alikua akicheza mpaka na lesso uwanjani
 
Adama Traore
IMG_20191128_100825.jpeg
 
Back
Top Bottom