Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Yap kacheza Spurs kwa misimu kama miwili. Acha Spurs kacheza hadi Crystal PalacePhoto shop hii hivi Edgar Davis kacheza spurs huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap kacheza Spurs kwa misimu kama miwili. Acha Spurs kacheza hadi Crystal PalacePhoto shop hii hivi Edgar Davis kacheza spurs huyu?
Baada ya kutoka juve alienda spurs kumbe dah nilikuwa sijuiYap kacheza Spurs kwa misimu kama miwili. Acha Spurs kacheza hadi Crystal Palace
Hussein Amani Masha. Huyu midfield wa zamani wa Wekundu wa Msimbazi utanashati wake ulizidi kiasi cha kwamba alikua akicheza mpaka na lesso uwanjaniZamani sheria za mpira ziliwataka wachezaji wa mpira wa miguu wawapo uwanjani basi hawana budi kuwa wamechomekea jezi zao ndani ya bukta zao. Ika baadae FIFA wakaja wakaifuta sheria ile.
Bado kuna wachezaji wachache wamesalia na mtindo huo wa kuchomekea jezi muda wote wa mchezo. Hebu leo tuwakumbuke wanandinga hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao:
1. Simon Francis wa Bournemouth
2. Scott Parker
NakubaliAllan wa Napoli
Seerdof
Hivi kwanini huyu jamaa alikuwaga anavaa miwani?Mnamkumbuka uyuView attachment 1273650View attachment 1273651
Andrea Pirlo
Hahaha, kwahyo tumuite mchezaji bora anayechomekea?Pirlo hata kukimbia alikuwa hakimbii uwanjani uhalali achomekee.
Kukimbia ni mbwe mbwe tu,Pirlo hata kukimbia alikuwa hakimbii uwanjani uhalali achomekee.
Huyo kabisa sijawahi muona kachomoa inaonye mpaka akilala jamaa anachomekea