Pre GE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Video inajieleza.


Your browser is not able to display this video.

Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi?

Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025?

Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
 
Mimi nimeshachukuwa passport ñasubili kukwea pipa Tu Mheshimiwa atupeleke USA.

Kuna Jamaa zangu nao wanasubili boti za uvuvi kutoka Japan kama walivyoahidiwa.
 
ASKOFU kaamua kutenda DHAMBI ya UONGO kwa Ajili ya Fedha za Bunge

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Brother hivi kwani Gwaji boy hamumjui vema?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama hamkumjua basi mmeshaliwa, subirini 2025
 
Mimi nipo hapa kusubiri boti ya kwenda kuvua bahari kuu bila kusahau safari ya kwenda japan kujifunza mambo ya uvuvi na kule Birmingham walau kuosha macho.
 
Usitaje CCM hayo aliahidi mwenyewe. Mwaka 2025 wataahidiwa kupelekwa Mars na kila kaya kupata helikopta
CCM inapaswa kujitokeza na kukanusha hizo ahadi za mbunge kwamba zilikuwa ni zake na haziwakilishi majukumu ya chama.

Mna uhuni mwingi sana huko ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…