Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Thread starter
- #21
Askofu anaposimama hadharani kusema uongo anaiabisha kazi njema ya Mungu.Mimi nimeshachukuwa passport ñasubili kukwea pipa Tu Mheshimiwa atupeleke USA.
Kuna Jamaa zangu nao wanasubili boti za uvuvi kutoka Japan kama walivyoahidiwa.
Gwajima akitubu atafika Mbinguni