Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba
1.6-0
2.5-0
3.4-1
4.3-1
5.2-0
6.1-0
Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga
Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
 
Back
Top Bottom