Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al hly kuitoa Simba si kuwa Simba ilikuwa mbovu sana.Fainali ni Ahly na Tunis
Wapo waliosema Al Ahly akifika hizi hatua anabadilika, watu hapo walidharaulika ila sasa nadhani tumeanza kuwaelewaAl hly kuitoa Simba si kuwa Simba ilikuwa mbovu sana.
Tp Mazembe walitangulia kupata goli VAR imelikataa goli lao halali kabisa. Wanasema kuna mchezaji kaushika mpira wakati hakuna kitu kama hichoAl hly kuitoa Simba si kuwa Simba ilikuwa mbovu sana.
Too bad. Ila hata likihesabiwa matokeo bado hayawabebi.Tp Mazembe walitangulia kupata goli VAR imelikataa goli lao halali kabisa. Wanasema kuna mchezaji kaushika mpira wakati hakuna kitu kama hicho
Mtoa mada alikuwa na mawenge yakeHuu uzi mbona si uelewi elewi mara update mara Azam
Yanga waone hiiDK 12 zimeongezwa. Mbili zimeshatumika.
Ni mechi ya AHL na TPM. Mpaka sasa ni AHLY wanaongoza 2 kwa sifuri, Dk 90 zimeisha zikaongezwa dk 12, saba zishatumika.Huu uzi mbona si uelewi elewi mara update mara Azam
Dk 8 zinaondoka kati ya zile 12 za nyongeza.Mtoa mada alikuwa na mawenge yake
Afu kwani tuongee mara ngapi kuhusiana na tatizo la mashabiki wa Yanga?
Si unajua Tena ukishakuwa shabiki wa Yanga vitu kama hivi vya kukengeuka ni kawaida.
Kutokana na kwamba sisi tunawajua tunajiongeza tu, hatupati shida nao ndio maana unaona Uzi unatembea Kwa live updates.
Tsh Dakika ya ngapi huko? Vurugu zimeisha au bado Kuna sintofahamu?
Usichukulie matokeo haya ya Al Ahly kutangulia, embu fikiria lile goli lingekubalika Tp Mazembe wangecheza kwa mbinu tofauti kwasababu ana advantage ya goli la ugenini, angeshikilia bomba haswa. Kukataliwa kwa goli kumeifanya Tp Mazembe wachezaji kwa mbinu ile ile waliokuwa wanacheza kabla ya kupata goli. Lile goli lingekubalika Al Ahly angeagaToo bad. Ila hata likihesabiwa matokeo bado hayawabebi.
Mimi ndio nilisema, mkasema hawa mshakutana nao sana mnawajuwa, nikawatahadharisha Al Ahaly wakishafika knock out stage wanabadirika complitely.Wapo waliosema Al Ahly akifika hizi hatua anabadilika, watu hapo walidharaulika ila sasa nadhani tumeanza kuwaelewa
Wangepiga yale makelele yaoYanga waone hii
Ingekuwa ni NBC na ni mechi ya Simba hapo amefungwa ungewasikia "mbeleko"
Mechi ndio ishaisha hivyoDk 8 zinaondoka kati ya zile 12 za nyongeza.
Unaweza kuwa sawa mkuu. Ila goli lilishakataliwa haina maana kulililia, bado dakika 2 mpira uisheUsichukulie matokeo haya ya Al Ahly kutangulia, embu fikiria lile goli lingekubalika Tp Mazembe wangecheza kwa mbinu tofauti kwasababu ana advantage ya goli la ugenini, angeshikilia bomba haswa. Kukataliwa kwa goli kumeifanya Tp Mazembe wachezaji kwa mbinu ile ile waliokuwa wanacheza kabla ya kupata goli. Lile goli lingekubalika Al Ahly angeaga
Makao makuu ya CAF yapo Cairo, ilo lazima ulielewe.Usichukulie matokeo haya ya Al Ahly kutangulia, embu fikiria lile goli lingekubalika Tp Mazembe wangecheza kwa mbinu tofauti kwasababu ana advantage ya goli la ugenini, angeshikilia bomba haswa. Kukataliwa kwa goli kumeifanya Tp Mazembe wachezaji kwa mbinu ile ile waliokuwa wanacheza kabla ya kupata goli. Lile goli lingekubalika Al Ahly angeaga