Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

Bado dk 1
Upande wa pili huku shughuli imeambatana na mvua masheikh wanakula wima.
Screenshot_20240427-000417.png

Mamelodi kakutana na kichaa mwenzake yani pale pale ambapo Yanga alipaki Yutong ndio hapo hapo Es Tunis alipokuja kumuadhibu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Al hly wana mahesabu hawa jamaa. Tuna mengi ya kujifunza kwao.
 
Upande wa pili huku shughuli imeambatana na mvua masheikh wanakula wima.

Mamelodi kakutana na kichaa mwenzake yani pale pale ambapo Yanga alipaki Yutong ndio hapo hapo Es Tunis alipokuja kumuadhibu.
Hahahaha. Shida ya Mame naye akishapakiwa basi anakosa namna.
 
Al hly wana mahesabu hawa jamaa. Tuna mengi ya kujifunza kwao.
Utajifunza nini ukimkuta Ahmed Ally anaizungumzia Simba utajuwa ni Real Madrid kumbe magoli unayategemea wafunge Saido na Kibu Denis.
 
Muarabu yule ni half mzungu

Wana mpira wa kwenye vitabu sio kanyaga twende kama kina Mzize na Saido
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Utajifunza nini ukimkuta Ahmed Ally anaizungumzia Simba utajuwa ni Real Madrid kumbe magoli unayategemea wafunge Saido na Kibu Denis.
Sheikh ile ndio kazi yake

Hata kwenye vita kunakuwa na kiongozi special wa kutoa morale Kwa wanajeshi hata kama anajua anachokiongea cha uongo ila lengo linakuwa ni morale.
 
Bora Simba hatukufungwa 3 away

Na hilo Moja ilikuwa ni penalty
TP ni bora mara 100 wametolewa semi final, tena timu imetoka kwenye mapito, bado haijawa TP yenyewe ila ya kina Tressou Mputu.
 
Na Tp Mazembe nao watasema bora sisi nyumbani kwetu hatukuwa wanyonge
Sisi tutasema beki zilichomesha Kwa hiyo credit za ubora huwezi kupeleka upande wa Al Ahly
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
TP ni bora mara 100 wametolewa semi final, tena timu imetoka kwenye mapito, bado haijawa TP yenyewe ila ya kina Tressou Mputu.
Sawa sawa chambuzi

Simba pekee tu ndio haipo kwenye mapito
 
Back
Top Bottom