Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

Point yako ni janga la Yanga kushindwa kupiga penati. Sasa unashangaa Yanga kushindwa kupiga penati na kuwaita miguu mibovu wakati timu yako imetoka kutolewa na Mashujaa kwa kushindwa kupiga penati. Hater una matatizo makubwa sana wewe
Amechanganyikiwa kidogo huyo mkuu
 
Point yako ni janga la Yanga kushindwa kupiga penati. Sasa unashangaa Yanga kushindwa kupiga penati na kuwaita miguu mibovu wakati timu yako imetoka kutolewa na Mashujaa kwa kushindwa kupiga penati. Hater una matatizo makubwa sana wewe
Point ni kwamba iliingia kwa mbinu ya kupaki Yutong ili wafike matuta.

At the same time wanajijua hawana uwezo kwenye upigaji na udakaji.

Sasa huko ni kusumbua mahakama
 
Hii habari ya kufutwa shirikisho Africa nimeisaka kwenye CAF official website sijaipata, na sijaona official announcement popote...

Aisee wakifanya huu ujinga ntashangaa sana, itaua upinzani kwenye ligi kabisa, ngoja nitolee mfano... Hapa kwetu Simba ana pointi nyingi CAF kushinda timu zote, anayefata ni yanga, Hawa kina azam itachukua hata misimu 10 kumfikia Simba, sasa let's say yanga anachukua ubingwa ligi, Simba Hana hata haja ya kugombania nafasi ya pili, maana anajua atashiriki afl(michuano mikubwa Africa) hata kama akishuka daraja ni guarantee kushiriki kwa misimu hata mitano.

Hii inaenda kuua ushindani kwenye ligi kabisa, maana CAF CL itakua michuano ya ma looser tu Wala itakua Haina hamasa kivile, macho yote kwenye AFL.... Hizi timu kama azam hata zikichukua ubingwa zitaenda kwenye michuano hafifu tu...

Sitaki kuamini kua wanaweza kupitisha huu ujinga ndo maana nikasema nimetafuta official announcement sijapata mpaka sa ivi, itakua ujinga sana kuruhusu club kama wydad ambao wanamaliza sijui wa Saba kwenye ligi Yao kushiriki michuano mikubwa Africa na kuwanyima washindi wa ,4,5 kwenye ligi Yao eti kisa miaka ya nyuma walishajizolea point, michuano inatakiwa iangalie achievements za msimu huo sio kupeana nafasi kwa kujuana
 
Habari za kina kazumari hizo
 
Yanga hawakupaki yutong isipokuwa Mamelodi wana mpira wa kupiga pasi nyingi zisizo na faida. Angalia game zote mbili alizocheza Mamelodi dhidi ya Es Tunis ni zote mbili kaongoza kwa possession kw zaidi ya asilimia 60+ na unaweza sema Es Tunis alipaki yutong
 
Una hoja
Wamekurupuka sana
 
Wakuu
Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa

Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko azam.

Hawa azam hawatabiriki kimataifa zaidi wataenda kufanya tu point zetu zikwame tu

Kama msimu ule walipotolewa na kitimu kidogo cha Libya..

Angalau basi hawa ndugu zetu mwakarobo wao wamezoea kidogo Wataishia hata makundi safari hii au kubabatiza robo, wakati yanga ataenda nusu au final kabisa.

I UNDERSTAND..
Kwamba kanuni za CAF zimebadilika baada ya mashindano ya CAF confederation kufutwa kwamba itakuwa

AFRICAN FOOTBALL LEAGUE. ⛏️watashiriki simba na yanga wote .
Hii ni kutokana na kuongezwa team mpaka 24..

CAF CHAMPION LEAGUE
hapa napo kumebadilika kidogo
⛏️ Bingwa wa ligi kuu
⛏️nafasi ya pili.

⛏️Pia kama bingwa wa ligi ambaye ni yanga akichukua na FA basi ataenda yanga na yule wa pili .

Na kama yanga akichukua ligi tu halafu FA [crdb] akachukua mwengine .
Basi ataenda yanga na bingwa wa crdb fa cup..!

Ingawa simba watacheza AFL pasipo kuangalia nafasi ya kwenye ligi yao maana hata huko south Africa kaizer chief atashiriki.

Na huko no problem kwamba simba watatolewa mapema sana
Hivyo nafasi yao ni huko CCL..

Tuwaombee hawa mbumbumbu wajameni ..

Nakaribisha criticism
Its Pancho
Ile timu ilikuwa ya Libya au Ethiopia?
 
Yanga hawakupaki yutong isipokuwa Mamelodi wana mpira wa kupiga pasi nyingi zisizo na faida. Angalia game zote mbili alizocheza Mamelodi dhidi ya Es Tunis ni zote mbili kaongoza kwa possession kw zaidi ya asilimia 60+ na unaweza sema Es Tunis alipaki yutong
Kipi bora?
Kutolewa na mamelodi tena South Africa?

Au na mashujaa ya kigoma ?

Unajua wanasimba walivyochanganyikiwa?
 
Habari za kina kazumari hizo
Sijaona official announcement mpaka sa ivi, na sitaki kuamini hata FIFA ambae ndo msimamizi mkuu anaweza kuruhusu kanuni za kijinga kama hizi
 
Hii habari ya kufutwa shirikisho Africa nimeisaka kwenye CAF official website sijaipata, na sijaona official announcement popote...

Aisee wakifanya huu ujinga ntashangaa sana, itaua upinzani kwenye ligi kabisa, ngoja nitolee mfano... Hapa kwetu Simba ana pointi nyingi CAF kushinda timu zote, anayefata ni yanga, Hawa kina azam itachukua hata misimu 10 kumfikia Simba, sasa let's say yanga anachukua ubingwa ligi, Simba Hana hata haja ya kugombania nafasi ya pili, maana anajua atashiriki afl(michuano mikubwa Africa) hata kama akishuka daraja ni guarantee kushiriki kwa misimu hata mitano.

Hii inaenda kuua ushindani kwenye ligi kabisa, maana CAF CL itakua michuano ya ma looser tu Wala itakua Haina hamasa kivile, macho yote kwenye AFL.... Hizi timu kama azam hata zikichukua ubingwa zitaenda kwenye michuano hafifu tu...

Sitaki kuamini kua wanaweza kupitisha huu ujinga ndo maana nikasema nimetafuta official announcement sijapata mpaka sa ivi, itakua ujinga sana kuruhusu club kama wydad ambao wanamaliza sijui wa Saba kwenye ligi Yao kushiriki michuano mikubwa Africa na kuwanyima washindi wa ,4,5 kwenye ligi Yao eti kisa miaka ya nyuma walishajizolea point, michuano inatakiwa iangalie achievements za msimu huo sio kupeana nafasi kwa kujuana
Huo upuuzi anao raisi wa CAF na aliweka wazi sababu za kufuta. Ila bahati nzuri kilikalika kikao cha wajumbe wa kamati ya utendaji CAF, wamegomea kufutwa kwa CAFCC. Mapendekezo yao mashindano yote yawepo au kama kufutwa basi ifutwe AFL
 
Sawa, Azam kucheza club Bingwa bado kabisa
Ndio ukweli wenyewe bora hata simba wakacheze
Yaani yanga na wao simba

Kule kunahitaji experience sana na figisu azam bado wale
 
Huo upuuzi anao raisi wa CAF na aliweka wazi sababu za kufuta. Ila bahati nzuri kilikalika kikao cha wajumbe wa kamati ya utendaji CAF, wamegomea kufutwa kwa CAFCC. Mapendekezo yao mashindano yote yawepo au kama kufutwa basi ifutwe AFL
Lakini bado hawajafikia muafaka?

Halafu ujue hii AFL inaenda kuzipa nguvu team chache na kuziua team kibao sana yaani

Mfano bila CAFCC unadhani yanga tungepiga vipi gape kubwa mpaka sasa?
 
Huo upuuzi anao raisi wa CAF na aliweka wazi sababu za kufuta. Ila bahati nzuri kilikalika kikao cha wajumbe wa kamati ya utendaji CAF, wamegomea kufutwa kwa CAFCC. Mapendekezo yao mashindano yote yawepo au kama kufutwa basi ifutwe AFL
Atleast maana huku jf watu walikua wanaongea kama ndo tayari imekubalika, nikawa naingia website ya CAF karibu Kila siku lakini sikuwahi Kuona official announcement, hapa ndo ningeamini wa Africa ni wapumbavu kwenye Kila kitu, hii kitu haileti maana yoyote, yaani yanga au Simba hata zikishuka daraja zitakua na uhakika ya kucheza michuano mikubwa Africa mpaka pale hizi timu zingine zifikie point zake CAF, ingekua ujinga mkubwa niliouona tangu nizaliwe
 
Siwezi kusema wamekurupuka maana sijaona kama wameitangaza official popote pale, naona tu huku jf watu ndo kama wameifanya official news
Mkuu
Wakati walipokaa kikao juzi waliamua iwe kama agenda mojawapo kuwa itafutwa na ikawa ni breaking news

Lakini sasa wajumbe wamepinga na nadhani kikao kijacho ndio kitaamua wapi pasikilizwe .

Ila ni 50_50
 
Back
Top Bottom