Kwa io hata akichukua ubingwa wa NBC premier league asiende? Nini maana na kugombania nafasi ya kwanza au ya pili? Ni kupata privileges ya kushiriki michuano mikubwa AfricaNdio ukweli wenyewe bora hata simba wakacheze
Yaani yanga na wao simba
Kule kunahitaji experience sana na figisu azam bado wale
Elewa mkuuKwa io hata akichukua ubingwa wa NBC premier league asiende?
Pasi zinaweza kuwa nyingi lakini isilete maana ya kupaki bus.Yanga hawakupaki yutong isipokuwa Mamelodi wana mpira wa kupiga pasi nyingi zisizo na faida. Angalia game zote mbili alizocheza Mamelodi dhidi ya Es Tunis ni zote mbili kaongoza kwa possession kw zaidi ya asilimia 60+ na unaweza sema Es Tunis alipaki yutong
Nikuulize swali mkuu, kwenye epl msimu huu Aston villa ana nafasi kubwa sana ya kumaliza nafasi ya nne itakayompa nafasi ya kucheza champions league baada ya muda mrefu sana, tukifata hizi taratibu zetu unaona itakua Haki apewe hiyo nafasi man UTD au Chelsea ambazo zipo chini yake kisa tu miaka ya nyuma zilikua na mafanikio na zina point nyingi?Mkuu
Wakati walipokaa kikao juzi waliamua iwe kama agenda mojawapo kuwa itafutwa na ikawa ni breaking news
Lakini sasa wajumbe wamepinga na nadhani kikao kijacho ndio kitaamua wapi pasikilizwe .
Ila ni 50_50
Mpaka kufikia hatua ya kufuzu kwenda itakua hajajipanga? Mtu aki compete kwenye ligi akawa wa pili wewe ukawa na tatu nani kajipanga?Elewa mkuu
Tunachomaanisha azam hata akienda basi ajipange sio asiende
Kwa kweli sio sawa kabisaNikuulize swali mkuu, kwenye epl msimu huu Aston villa ana nafasi kubwa sana ya kumaliza nafasi ya nne itakayompa nafasi ya kucheza champions league baada ya muda mrefu sana, tukifata hizi taratibu zetu unaona itakua Haki apewe hiyo nafasi man UTD au Chelsea ambazo zipo chini yake kisa tu miaka ya nyuma zilikua na mafanikio na zina point nyingi?
Sasa ligi ikiianza, timu za chini zinajua kabisa hata nikimaliza nafasi ya kwanza, pili au tatu siwezi kushiriki michuano mikubwa ya kimataifa, unadhani watakua na hamasa Gani? Huku Kuna timu inasema hata nikishuka daraja kushiriki african football league ni uhakika..... Imekaaje Hio?
Mimi nakupa ukweli wenyewe wala sio manenoMpaka kufikia hatua ya kufuzu kwenda itakua hajajipanga? Mtu aki compete kwenye ligi akawa wa pili wewe ukawa na tatu nani kajipanga?
ZoaUmejiandikia kinyesi tu
Sidhani kama hii kitu inaweza pitishwa, niliona huku kuna mtu alileta kama official news akili yangu ikakataa nikaingia website ya CAF sikuona Hio habari, nikatafute kwenye official pages zao za social platform za maana zote sikuona pia, roho ikatulia maana nilianza kuhisi tushakua watu wa ovyo kwenye Kila kitu, hii kitu hata kichaa hawezi Kuona ni sawaKwa kweli sio sawa kabisa
Na itakuwa inaua spirit sana
Mfano hizo kanuni hapo juu ina maana coastal na azam wanaweza wasiende kimataifa maana coastal ndio wa nne
Halafu sasa Tanzania si tunapeleka team 4? Sasa hapo kwa kanuni zao za kibwege hizo hapo ni simba na yanga tu basi
Mfano hiyo AFL kaizer chief atashiriki eti na anashika nafasi za chini huko ligi kuu why?
Motsepe anafanya vitu kwa kuangalia team yake tuSidhani kama hii kitu inaweza pitishwa, niliona huku kuna mtu alileta kama official news akili yangu ikakataa nikaingia website ya CAF sikuona Hio habari, nikatafute kwenye official pages zao za social platform za maana zote sikuona pia, roho ikatulia maana nilianza kuhisi tushakua watu wa ovyo kwenye Kila kitu, hii kitu hata kichaa hawezi Kuona ni sawa
Okay nimekuelewa, hypothetically(kwa mfano) tufanye sasa msimu ujao, mashujaa achukue kombe, coastal awe wa pili, jkt wa tatu, polisi Dodoma wa nne, Simba amalize wa 7, yanga amalize wa 10, utashauri Simba na Yanga ndo wawakilishe timu zetu kimataifa?Mimi nakupa ukweli wenyewe wala sio maneno
Simba walimaliza pia nafasi ya pili msimu uliopita angalia kimataifa waliishia robo
Azam na mwenzie biashara united ndiye aliyefanya hapa majuzi tukanyima nafasi ya kupeleka team 4 mpaka simba na yanga walivyokaza safari hii ndiyo tumepata tena
Alijipanga ndiyo lakini team zilimtoa mara mbili zote nj za hovyo kabisa wale waethiopia na walibya kweli?
Kujipanga kwenye ligi kuu sio sawa na CAF mkuu wetu
Wanachotakiwa kujua ni kwamba wakifuta cafccl na wakaipa ufalme afl, CAF CL ndo inakuja kua cafccl mpya maana itakua na low tier teams, yaani ni kitu kile kile sema kanuni za kufuzu ndo zitakua za kibwege kweliMotsepe anafanya vitu kwa kuangalia team yake tu
Au nani alimshauri jambo hili?
Wao walisema CAFCC imepoteza mvuto na haileti faida
HapanaOkay nimekuelewa, hypothetically(kwa mfano) tufanye sasa msimu ujao, mashujaa achukue kombe, coastal awe wa pili, jkt wa tatu, polisi Dodoma wa nne, Simba amalize wa 7, yanga amalize wa 10, utashauri Simba na Yanga ndo wawakilishe timu zetu kimataifa?
Kwanini tu kusiwe na hizo competition zote tatu? Watapungukiwa nini?Wanachotakiwa kujua ni kwamba wakifuta cafccl na wakaipa ufalme afl, CAF CL ndo inakuja kua cafccl mpya maana itakua na low tier teams, yaani ni kitu kile kile sema kanuni za kufuzu ndo zitakua za kibwege kweli
Mkuu, kanuni zipi sasa hizo, kanuni za kushiriki afl zinasema kinachoangaliwa ni point za caf, ambazo automatically Simba na Yanga zitakua juu kwa miaka hata mitano ijayo, ukifata kanuni Ina maana Simba ya 7 kwenye msimamo na Yanga ya 10 kwenye msimamo(hypothetically) ndo zitatuwakilisha kimataifa....... Itakua ni sahihi? Kwa club zilizoshika nafasi ya kwanza mpaka 6?Hapana
Kanuni lazima zitafuatwa
Lakini haiwezi kuzuia ukweli kuwa hao hawana exposure huko kimataifa ila wanatimiza wajibu wao tu kushiriki
Ndio yale yale ya biashara kugoma kwenda ugenini eti hawana nauli na wana mtaji wa goli 2 home...!
Atleast wafanya hivi au watoe Hio afl, mbona ulaya huu ujinga waliukataa kwa nguvu zote... Walitaka kuanzia European super league( ndo kama hii afl) maana ni elites teams za misimu iliyopita ndo zinashiriki, ila uzuri wenzetu Wana msimamo, timu ndogo zote zikakaa kikao wakaweka msimamo kua hizi timu kubwa wakianzisha michuano Yao mikubwa ya kuchaguana kutokana na historia za mafanikio za nyuma za club bila kujali misimamo ya ligi ya mwaka husika(haya haya ya afl) basi wao watajitoa kwenye ligi zote kuanzia timu ndogo za Spain, england, Italy, France, Germany walikubaliana hivi ili wawaache mpaka kwenye ligi wapambane wakubwa kwa wakubwa, ndo ikashindikanaKwanini tu kusiwe na hizo competition zote tatu? Watapungukiwa nini?
Kuna motive gani na hii AFL?
Nikiskia hili mapaka arsenal, City na wengine kibao waligomaAtleast wafanya hivi au watoe Hio afl, mbona ulaya huu ujinga waliukataa kwa nguvu zote... Walitaka kuanzia European super league( ndo kama hii afl) maana ni elites teams za misimu iliyopita ndo zinashiriki, ila uzuri wenzetu Wana msimamo, timu ndogo zote zikakaa kikao wakaweka msimamo kua hizi timu kubwa wakianzisha michuano Yao mikubwa ya kuchaguana kutokana na historia za mafanikio za nyuma za club bila kujali misimamo ya ligi ya mwaka husika(haya haya ya afl) basi wao watajitoa kwenye ligi zote kuanzia timu ndogo za Spain, england, Italy, France, Germany walikubaliana hivi ili wawaache mpaka kwenye ligi wapambane wakubwa kwa wakubwa, ndo ikashindikana
Ni sawa na timu za NBC waweke msimamo kua CAF wakipitisha huu ujinga wote wasusie michuano ya ligi wawache simba na Yanga au na azam wacheze ligi Peke yao
Club nyingi ziligoma,maana European super league ingekua inatoa pesa nyingi sana kwa club shiriki kushinda hata mshindi wa champions league (ila kumbuka kina Perez ni mamafia hii ESL ingekua inaingiza pesa nyingi sana kushinda inazotoa)Nikiskia hili mapaka arsenal, City na wengine kibao waligoma
Ni pèrez ma Madrid yake ndiyo alikuwa anashupalia sana yule
Hii AFL ni wanawapa hela club zenye pesa tayari yaani