Atleast wafanya hivi au watoe Hio afl, mbona ulaya huu ujinga waliukataa kwa nguvu zote... Walitaka kuanzia European super league( ndo kama hii afl) maana ni elites teams za misimu iliyopita ndo zinashiriki, ila uzuri wenzetu Wana msimamo, timu ndogo zote zikakaa kikao wakaweka msimamo kua hizi timu kubwa wakianzisha michuano Yao mikubwa ya kuchaguana kutokana na historia za mafanikio za nyuma za club bila kujali misimamo ya ligi ya mwaka husika(haya haya ya afl) basi wao watajitoa kwenye ligi zote kuanzia timu ndogo za Spain, england, Italy, France, Germany walikubaliana hivi ili wawaache mpaka kwenye ligi wapambane wakubwa kwa wakubwa, ndo ikashindikana
Ni sawa na timu za NBC waweke msimamo kua CAF wakipitisha huu ujinga wote wasusie michuano ya ligi wawache simba na Yanga au na azam wacheze ligi Peke yao