Ukiwa na uwezo mdogo wa kuchanganua na kujadili mambo ni heri ukae kimya kuliko kujizolea aibu ndogondogo zinazokwepeka
Timetable ilitustua sio poa[emoji17]..!! Kinachoumiza zaid ni juu ya wenzetu kuambiwa hawanasifa za kufanya mthian uck wa kuamkia siku ya mthian ... na wengine kutolewa wakiwa ndani ya vyumba vya mthian..!! 🥲Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea.
Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.
Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya mtihani, can you imagine! Mkenda waziri wa elimu uko wapi?
TUWAOMBEE
DuhTimetable ilitustua sio poa[emoji17]..!! Kinachoumiza zaid ni juu ya wenzetu kuambiwa hawanasifa za kufanya mthian uck wa kuamkia siku ya mthian ... na wengine kutolewa wakiwa ndani ya vyumba vya mthian..!! 🥲
Ninachojiuliza KIVIPI HAWANA SIFA ? ,kipindi chote wanasoma hawakuambiwa mpaka wanatolewa siku ya mtihaniTimetable ilitustua sio poa[emoji17]..!! Kinachoumiza zaid ni juu ya wenzetu kuambiwa hawanasifa za kufanya mthian uck wa kuamkia siku ya mthian ... na wengine kutolewa wakiwa ndani ya vyumba vya mthian..!! 🥲
very sad, kwanini wanawafanyia hivyo watoto jamani @ samia pangua NACTEVETTimetable ilitustua sio poa[emoji17]..!! Kinachoumiza zaid ni juu ya wenzetu kuambiwa hawanasifa za kufanya mthian uck wa kuamkia siku ya mthian ... na wengine kutolewa wakiwa ndani ya vyumba vya mthian..!! 🥲