Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

Sayansi ni Vitendo
Sayansi ni majaribio
Sayansi ni kutatua changamoto
Sasa wana SAYANSI wakianza kulialia humu tena kwenye mitihani ambayo hata wanafunzi wa Std IV wa gugambige primary school wanatatua bila kuja kujaza maneno humu kwenye server, sasa kuna haja gani ya kuwaita wanasayansi??
Naomba uelewe hilo mapema SAYANSI ni somo linalojikita kwenye kutatua changamoto
Ukiwa na uwezo mdogo wa kuchanganua na kujadili mambo ni heri ukae kimya kuliko kujizolea aibu ndogondogo zinazokwepeka
 
Hivi program za afya nani anazisimamia- nacte au wizara? Vyuo vingi vya Kati nje ya afya vina curricula zao ambazo huidhinishwa na nacte, vyuo hufundisha na kutihani. Nacte husimamia na kutoa ithibati kwa vyuo hivyo. Sasa afya ni kama wizara ndio imeshika mpini na mambo yako centralized. Sina hakika kama ni hivyo, je nacte wana majukumu gani? Na mpangilio huu hauwezi kuwa chanzo cha haya matatizo?
 
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea.

Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.

Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya mtihani, can you imagine! Mkenda waziri wa elimu uko wapi?

TUWAOMBEE
Timetable ilitustua sio poa[emoji17]..!! Kinachoumiza zaid ni juu ya wenzetu kuambiwa hawanasifa za kufanya mthian uck wa kuamkia siku ya mthian ... na wengine kutolewa wakiwa ndani ya vyumba vya mthian..!! 🥲
 
Duh
 
Ninachojiuliza KIVIPI HAWANA SIFA ? ,kipindi chote wanasoma hawakuambiwa mpaka wanatolewa siku ya mtihani
 
Daaah, Naimani hata hili MUNGU atawavusha salama. Wakubaliane na hali ili akili ifunguke kukabiliana. Hii ndio tz yetu.
 
Timetable ilitustua sio poa[emoji17]..!! Kinachoumiza zaid ni juu ya wenzetu kuambiwa hawanasifa za kufanya mthian uck wa kuamkia siku ya mthian ... na wengine kutolewa wakiwa ndani ya vyumba vya mthian..!! 🥲
very sad, kwanini wanawafanyia hivyo watoto jamani @ samia pangua NACTEVET
 
Rais samia ingilia kati upate undani wa hivi vyuo vinatendaje lazi zake.
Mfano usimamizi wa mitihani ni shagala baghala. Waulize watoto madhira wanahyopitia katika usimamizi wa mitihani huko mahospitalini. Ni vurugu tupu. mtoto hajui ni lini atafanya mtihani, anashitukiza kuwa wewe njoo ufanye mtihani....
 
Back
Top Bottom