realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi.
Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa.
Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe kisha yeye afuatie baadaye.
Bibi ni mtu mpole sana na mnyenyekevu hata akigombezwa hunyamaza kimya.
Kwa kijijini Bibi ni mtu masikini sana asiye na kipato ni mtu wa kusaidiwa.
Bibi anaweza kukusaidia pesa yake yote ya mwisho ili mradi usiteseke.
Bibi nampenda sana ingawa alishatangulia mbele za haki.
Tuwakumbuke Bibi zetu kijijini kwa kuwatumia chochote ikiwa ni sambamba na kuboresha makazi yao.