funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu.
Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa huduma na hatimaye huduma zimerejea kwa wakati.
N.B
naamini Hili lilikuwa ni jaribio la kipimo cha utayari kwa mamlaka ya reli nchini na wamefanikiwa sana kutatua changamoto hii kwa wakati.
Hii ni message kubwa sana kwa maadui wa maendeleo na maadui wa Tanzania.
TRC na wadau wake wamejipanga vilivyo!!
Soma Pia: