Itakuwa. Zimetokea delays za masaa mawili. Na sisi tuliokuwa tutoke Dar saa 12 na dakika 55 jioni kuelekea Dodoma, saa 5 na dakika 52 sasa Tumesimama Morogoro zaidi ya dakika 30 na hatuelewi kinachojiri maana hatupati taarifa yoyote.Jf bana! Ukute huyu ni mmoja wa maimployees anatafuta kukubalika humu ndani! Kmmk!
Lakini kama ni kosa la kibinaadamu hata kwa 1%, basi aliyesababisha hilo alipaswa muda huu awe na barua yake ya khaki akimsomea mkewe.Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu.
Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa huduma na hatimaye huduma zimerejea kwa wakati.
N.B
naamini Hili lilikuwa ni jaribio la kipimo cha utayari kwa mamlaka ya reli nchini na wamefanikiwa sana kutatua changamoto hii kwa wakati.
Hii ni message kubwa sana kwa maadui wa maendeleo na maadui wa Tanzania.
TRC na wadau wake wamejipanga vilivyo!!
Soma Pia:
Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu.
Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa huduma na hatimaye huduma zimerejea kwa wakati.
N.B
naamini Hili lilikuwa ni jaribio la kipimo cha utayari kwa mamlaka ya reli nchini na wamefanikiwa sana kutatua changamoto hii kwa wakati.
Hii ni message kubwa sana kwa maadui wa maendeleo na maadui wa Tanzania.
TRC na wadau wake wamejipanga vilivyo!!
Soma Pia:
Hili mazafanta lilikuwa linajiitaga jingalao.Jf bana! Ukute huyu ni mmoja wa maimployees anatafuta kukubalika humu ndani! Kmmk!
Na hiyo ni indicator nyingine huenda ni uzembe wa kibinaadamu. Hatua Kali kabisa zinapaswa kuchukuliwa na aliyesababishaAjali imetokea kwenye eneo ambalo treni hupishana kuna njia nyingi sio njia moja,ingekuwa njia kuu na ipo kwenye ipo kwenye motion hapa tongeongea mengine.