Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.