Tuwaseme mpaka wabadilike: Wanaume wa Dar

Bongo muvie
Huyo sio bongo move mkuu huyo ni kijana wa kamanda siro anafanya yake saloon!!!

Bongo move huyu [emoji116] [emoji116] ametekwa!!
 

Attachments

  • tapatalk_1494357318233.png
    97.2 KB · Views: 37
Ndo maana wakija dar wanafumuliwa marinda kama bashite,dar si mchezo mchezo
 

Hivi ulikaa muda wote huo kuenda unafatilia maisha ya watu tu?
1; unataka tunuke vikwapa kama wewe au dume zima ukipita karibu na watu wanaziba pua, mwenyewe ndo unajiona mwanaume hapo!!!

2; kwahiyo unataka tukae na minywele kama machizi kama mfanyavyo nyinyi si ndio.
Hivi kwanini nyinyi suala la usafi limewapitia kushoto kiasi hicho? Yani hata usafi wa nywele zako tu ni tatizo? Sasa hizi tunazoziona tu zina hali kama hiyo je hizo tusizoziona zitakuwa na hali gani.?
Asee hawa Dada zetu wanatabu sana asee.

3; kwahiyo unataka tuvae madabwada kama nyie au.
Yani kwako wewe kuwa smart ni kama vile anunswerd criss.!!
Heti kuchinja kuku, kwahiyo hawa kukuwote tunaokula huku mmechinja nyinyi au.?

4; kitendo cha wewe kuliongekea hilo basi wewe ndo mbeya wa kwanza, haitoshi hata huu Uzi wako unathibitisha kiasi gani ulivo.

5; Nadhani we hata elimu ya vyakula tu huna wewe, we unadhani kula ugali kilo nzima ndo uanaume au ndo afya.
Asee pole sana.

6; we nahisi dar hupajui wewe, huku hakuna mashamba. Mashamba tumenunua huko kwenu mikoani na nyinyi ndo vidampa wetu mnaotufanyia kazi huko sisi kazi yetu kuwapa hela.
Hatuwezi kuwa wakulima wote.
Kama sisi wavivu mbona huku kwetu ndo kunamaendeleo zaidi.?
Mimi naona we huna ajira wewe sasa kuna shamba langu la miembe ya kisasa hapo yombo bagamoyo nitafute nikupe ajira ukanitunzie lile shamba uache kupiga kelele zisizo na maana hapa.

Ukiona vipi hamieni dar, acheni Wivu.
 
Marinda city baki nayo mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…